Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

Equatorial Guinea: Chama kikuu cha upinzani chafutwa rasmi

Maandamano ya amani...hatoumia wala kufa mtu endapo vyombo vya usalama vitazingatia misingi ya kidemokrasia kama Sheria na Katiba zinavyoeleza.
 
Maandamano ya amani...hatoumia wala kufa mtu endapo vyombo vya usalama vitazingatia misingi ya kidemokrasia kama Sheria na Katiba zinavyoeleza.
Asa hayo maandamano kibali katoa nani mpaka uyaite ya amani.
OK fine let's wait
 
Asa hayo maandamano kibali katoa nani mpaka uyaite ya amani.
OK fine let's wait
Inajulikana kuwa maandamano ni haki ya raia Kikatiba.., kinachotakiwa kufanywa hua ni KUTOA TAARIFA . . , na sio kuomba ruhksa.. !
 
Kwa nnavyo yaona na akili za wahusika sioni kama ni ya amani.
Kwani wewe ni mtoa vibali vya maandamano...?!

Kwani umepimaje maandamano hayo kuwa hayatakua ya amani ...?!

Weee ni mganga wa ccm...?!
 
Hakuna mkuu ngoja niwe observer hata yakifanyika mabadiliko mm hayatanigusa direct maisha yangu yanajengwa Na mm sio wanasiasa.
You are a nicompoup...!

Hakuna mabadiliko yoyote ya kisiasa, ambayo nafahamu ni lazima yawe ni ya kiuchumi pia.., ambayo yakifanyika nchi hii hayatakuathiri + or - ..., never..!

Unless wewe ni ki la za...!
 
Wewe unamfahamu vizuri Bob Marley, unafikiri angemsujudu da'Mange kama unavyomsujudu huyo mpiga porojo? Ha ha ha, acha kujidanganya.
Bob malya tumepiga nae ganja sana.
Yule hakuwahi kumnyeyekea dikteta yeyote duniani.
We unafikiri kama aliukataa mkono wa nyerere angekutana na huyu uchwara wenu si angekula kibao?
 
You are a nicompoup...!

Hakuna mabadiliko yoyote ya kisiasa, ambayo nafahamu ni lazima yawe ni ya kiuchumi pia.., ambayo yakifanyika nchi hii hayatakuathiri + or - ..., never..!

Unless wewe ni ki la za...!
Sawa wasubiri wapiga porojo wakuletee maendeleo.
 
Kwa hiyo magu anatakiwa amuige diktata Nguema? Kweli mmefikia pabaya
Magu hafuti chama, NEC NDIO YENYE DHAMANA YA JAMBO HILO.
THEODORE NGWEMA HAKUAMUA YEYE BALI NI TUME YA UCHAGUZI YA E/GUINEA
 
Uongo,tunasikiliza nakuangalia taarifa.za habari karibu radio kinds zote hatujasikia hiyo taarifa
nadhani huwa unasikiliza Radio Mbowe Na TV mange Kimambi tu kisha unahamia kwny misokoto muda wote.
 
Nimeona kuna watu hawaamini hii ishu ila ni kweli kabisa imetokea, hukumu kufuta chama ilitolewa siku ya jumatatu tar 26 feb. 2018. Mtoa mada ameamua either kwa makusudi au bahati mbaya kuacha kuandika point muhimu zaidi kuhusu hii hukumu. Katika hayo maandamano yaliyotokea november 2017, polisi watatu walijeruhiwa na kuibiwa silaha ambazo ni AK47 tatu na pistol moja. Kwa lugha nyingine, maandamano yao hayakua ya amani, pengine hiyo ndio sababu kuuiliyopelekea chama kufutwa.
asante mkuu umewawekea TV ya bure nje kabisa.Kazi kwao
 
Back
Top Bottom