Equations that changed the world

Samahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
 
By the way, square root of -1 is i.
What is the square root of i?
Kitu kama 0.707 ngapi ngapi sijui huko plus 0.707 kama namba ya mwanzo mwisho kuna i.

Nishasahau na kusahau haya madude.
 
Samahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
Humo kwenye programmed system ikweshenzi, zishatendeka.

Systems au hizo software zipo kurahisha mambo kwa tu amabae tayari anajua kitu anachokifanya.

Mfano mdogo unapotumia scientific calculator, inakusaidia(kukurahisishia) katika jambo ambalo tayari ushalijua.
 
Samahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
Hizo ndio underlying principles ya science hapa Duniani, Mkuu.
 
Katika hizo Newton's laws of motion hakuna iliyokuwa tami kama hii; To every action there is equal and opposite reaction au Action and Reaction are equal and opposite.
Ndio nyepesi zaidi kuimeza.. Mie niliimezaga hivi "Actions and reactions are equal but opposite in direction"
 
Mambo yamebadirika sana aisee.
Mwaka 1807 Majeshi ya ufaransa chini ya Napoleone yalipokuwa yakiiteka Ujerumani, Napoleone aliyaagiza yasiushambulie mji wa Gortingen, sababu katika Mji huo alikuwa akiishi mwanamahesabu Mkubwa duniani Carl Friedrich Gauss.

Leo watu maarufu ni akina Makonda na Rafiki yake Piere.
 
Samahani! Hivi hizi equations huwa zinatumika wapi baada ya Kumaliza masomo?
-
Benki naona calculators
Ndege naona programmed systems
Engineers naona scientific calculators na programmed softwares
Doctors naona programmed systems & softwares
Bank naziapply baadhi ya hizo formula on daily basis
 
Kwenda na kasi ya dunia, unaonaje tukianza kufundisha hizo ready made programmed softwares & tools.

Mfano! Simu janja mtu anakuwa hana ufahamu lakini anajifunza hatua kwa hatua na kuweza kuhimili sio lazima afahamu metric, codes na system behind it.
 
Tutakosa wataalamu wakutengeneza hizo systems zenyewe.. Mfano unataka kutengeneza mambo ya projection ili utengeneze system ya kuproject kitu lazima tayari uwe unazijua kanuni za projection ipasavyo, ujue projection ni nink, kanuni zake, ujue trigonometry vizuri, law za motions vizuri.. Kisha hivyo vitu ndio unavitengenezea system ambayo inarahisisha kazi
Kwamba upo kigamboni ukitaka kutupa bomu lifike tandale kwa tumbo pale, unabonyeza kitufe ambapo kinaruhusu sytem ipige hesabu za umbali, speed ya bomu, ipite urefu gani ili isiguse jemgo refu zaidi kati kati(posta) bomu likalipua targert tofauti, angle ya kupigia bomu na kadhalika
Badala ya kukaa na mikaratasi kuanza kupiga hesabu zinazobeba muda mrefu..

Ila tunapoelekea roboti watabeba kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…