Mkuu nimekugongea like, nimeipenda ila hii no 0754125125 ni ya nani/wapi?FULL MAUJANJA NJIA
ZA KUEPEKA USUMBUFU
WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu
pia unaweza ku forward
simu zote na ukapata sms
pindi mtu akikupigia
*21#0754125125#ok hii
ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok.
Ukitaka kutoa
##002#ok.
Sim itakua haipatikani
pindi mtu atakapo
kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia
kwa mda huo huo. ACHA
COMMMET YAKO MUHIMU... I HOPE MAANDISHI YAONEKANA ENJOY!!​
Mkuu nimekugongea like, nimeipenda ila hii no 0754125125 ni ya nani/wapi?
Hapana bwana hii nadhani inawafaa akina tongozatongoza -fiksi fiksi na watoto wa shule,lakini sisi watu na business zetu kwanza hatutoi namba zetu kwa wapuuzi,piliasilimia 90ya mawasiliano yetu ya simu ni deal 10%iliyobaki ni kuitana ili kujipongeza kwa mafanikio ya kazi.BIG NO!mkuu,usumbufu wa simu unatokea ktk mazingira yafuatayo,
1.kuna wakati mtu upo kwenye kikao muhimu huitaji simu kuita lakin unaitaji kujua nani anakutafuta
2.kuna wakati mtu unaendesha gari au upo na watu sehemu ambapo huwezi kutoka kuongea na simu pembeni,lakni pia ukiongea pale utawakwaza wenzio au sir kuvuja
3.kunawakati mtu upo unaendesha semina au upo ibadani/kanisani
4.kuna wakati mtu umepumzika na mwe
Sasa si bora tu uzime!!.
FULL MAUJANJA NJIA
ZA KUEPEKA USUMBUFU
WA SIMU JARIBU SASA Kama hutaki usumbufu
pia unaweza ku forward
simu zote na ukapata sms
pindi mtu akikupigia
*21#0754125125#ok hii
ni kwa voda. Kwa zantel ni *21#+255125#ok.
Ukitaka kutoa
##002#ok.
Sim itakua haipatikani
pindi mtu atakapo
kupigia ila wewe utapata sms ya sim aliyokupigia
kwa mda huo huo. ACHA
COMMMET YAKO MUHIMU... I HOPE MAANDISHI YAONEKANA ENJOY!!?