mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
yaani hao makuwadi wa serikali hata mkiwaambiwa mambo ya maana wao wanaongea kishabiki tu! Biblia inawaita vipofu wenye macho na viziwi wenye masikio!mawaziri wasipoondolewa madaktari tutakosa imani kwa wizara ya afya, na serikali kwa ujumla kwani iliahidi kufanya hivo kupitia waziri mkuu. Mawaziri wakiondolewa tutapata imani kwa serikali na pia tutapata nafasi ya kujadiliana na serikali juu ya kuimprove sekta ya afya na hivyo kuondoa vifo visivyo vya lazima kwa wagonjwa wetu kutokana na ukosefu wa vifaa na dawa muhimu, hivi unajua ni watu wangapi wanakufa kwa siku kwenye hospitali kubwa kama muhi2 kwa kukosekana adrenaline tu?4 ur info watu wanakufa daily kwa kukoseekana dawa muhimu bila hata ya mgomo
kwa hiyo kama mwenzako hakufanya vizuri wewe ndio unatakiwa uje kuharibu kabisa? Mseven wenzake walifanya vibaya yeye akarekebisha, kagame kutoka nchi yenye mizoga hadi maendeleo, kenya narc wanasonga mbele na uchumi wa kenya haukamatiki. Sisi hadi leo tunasingizia vita vya idi amin. Shida sio mtangulizi wewe uliyepo ungeweza kufanya zaidi.mkuu samahano, sekta ya afya hapa nchini ilikuwa imara lini na ilianza kudorora lini?
ilianza kudorora muda mrefu sana,since nimejiunga kwenye hii fani, thats why nakwambia tumechoka kuona watu wakifa mikononi mwetu kwa sababu ya ukosefu wa vifaa na dawa, its enough, come what may.Mkuu samahano, sekta ya afya hapa nchini ilikuwa imara lini na ilianza kudorora lini?
lakacha vitisho kwa mkuu wa nchi, wewe nani bwana!
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
Hivi ni nini hasa kinachomfanya Kikwete ashindwe kuwaondoa Nkya na Mponda? Kama ni wazuri sana kwenye utendaji si awahamishie wizara nyingine?
Damu nzito kuliko maji,wana macho lkn hawaoni ,wanamasikio lkn hawasikii ,ujumbe umeufikisha ndg licha ya vikwazo vingi vya wapita njiaMtu mwenye akili na ufahamu hawezi kutetea tumbo lake huku akiwa amezungukwa na ndugu jamaa na marafiki wenye shida na wasiojua kesho yao.Tanzania ni yetu wote, maamuzi ya hovyo na dhulma zenu zinaiathiri jamii yote. Wezi wakubwa!!
madai ya madaktari yanafanyiwa kazi na serikali.nyie mnaotaka majibu baada ya siku tatu mjue kuwa utendaji na maamuzi ya nchi sio sawa na maamuzi ya familia ambayo wewe na mkeo mnaamka na kuamua jambo.hili ni suala la kitaifa linahitaji mambo mengi.subira inahitajika
Najaribu kulinganisha madhara ya mgomo wa madaktari uliopita na thamani halisi ya madai yao naona kwamba watu/ndugu zetu waliopoteza maisha yao kutokana na kukosa matibabu mahospitalini ni zaidi ya hicho wanachokidai. Wanatishia kugoma tena ili wananchi waendelee kufa kana kwamba hawakuridhika na vifo vilivyotokea katika mgomo wa awali. Kwa mtu yeyote mwenye kupenda haki na kujali wenzake hawezi kudai haki yake kwa kusababisha vifo vya wengine.
Mbona unajitia kiherehere!!! Wewe ndio msemaji wa Ikulu?Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.