Nahisi kama akitekeleza ili Mateacher nao watasema Kawambwa asepe.
Usikute asiwaondoe akina MPONDA akiwa na mtazamo huo
kabla ya kujiunga na hii forum wewe ni kati ya watu walinisisimua sana!kwa hii post ya leo umeitesa sana nafsi yangu!!labda hujajua haswa ni nini madrs wanataka ktk madai yao ya msingi.na declare interest,mimi niko ktk afya!pamoja na maslahi,hoja ya kwanza ya msingi ya madrs ni kufanyika kwa mabadiliko ya msingi kabisa ktk secta ya afya yenye lengo la kuokoa na kuboresha maisha ya watz!nitakupa scenarios ambayo naamini itakusaidia kujua mgomo huu inasababishwa na mdrs kutaka kuokoa maisha ya watu na si vinginevyo!najaribu kulinganisha madhara ya mgomo wa madaktari uliopita na thamani halisi ya madai yao naona kwamba watu/ndugu zetu waliopoteza maisha yao kutokana na kukosa matibabu mahospitalini ni zaidi ya hicho wanachokidai. Wanatishia kugoma tena ili wananchi waendelee kufa kana kwamba hawakuridhika na vifo vilivyotokea katika mgomo wa awali. Kwa mtu yeyote mwenye kupenda haki na kujali wenzake hawezi kudai haki yake kwa kusababisha vifo vya wengine.
Hata huyo kama hawezi mshauri mzee na yeye ni mwalimu piga chini................. abaki na vicheche..............Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
JAKAYA HATINGISHIKI NYIE HANGAIKEni TUU
mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mgomo wa madaktari.mleta mada we ni mchochezi na wala huishi hapa tanzania huathiriki na matokeo ya mgomo wa madaktari.
Kwani hao akina Mponda wanamtumikia nani?wanaowatumikia ndio hawawataki sasa kwa nini asiwaondoe?
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
Naamini u mzima, na najua huwa unapita hapa kama baadhi ya watendaji wako wanavyopita kwa majina bandia.
Mgomo wa madraktari ndo ushatangazwa naamini mkuu utaweka siasa na kiburi chako pembeni katika kutatua swala hili, japo ulijaribu kuwatuliza kwa maneno yaliyojaa siasa kwenye hotuba yako ya mwisho wa mwezi amini mkuu haijasaidia kitu, kwani makubaliano ilikuwa ni within a month baadhi ya matatizo yawe yameshatatuliwa, swala la kutangaza kwamba waziri mkuu ndo kapokea faili dakika za mwisho za mwezi huo mliokubaliana ni uthibitisho wa kwamba mliwadanganya madaktari, mlitumia siasa kukubaliana nao huku mkisahau mwezi mmoja ni siku thelathini tuu.
Chief najua wewe ni mbishi na utaacha madaktari wagome kwani wewe huumii kwa lolote, najua utataka kuweka muscle kidogo kwa kutishia kuwafuta kazi, mkuu Stuka maamuzi ya hovyo katika swala hili yatagharimu maisha ya wengi, yataibua migomo toka kada nyingine na amini nalokuhasa itakugharimu mkuu.
Enzi za bora liende zimekwisha, fanya kazi kama ulivyoomba wananchi wakuamini na kukupa madaraka.
Ikulu si mahali pa kupatia visa za kwenda kuzurura nje ya nchi kila kukicha, Ikulu ni nyumba inayokutanisha Pure cream and Think Tanks ya taifa.
Penye nyekundu natofautiana na wewe kidogo waliompa madaraka ni tume ya Taifa ya Uchaguzi na siyo wananchi kama wengi wanavyo dhania.
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
Mkuu huyo bwana/bibi anacho kiandika ni propaganda naye anajua hilo, sihamini kuwa hawezi ku link utekelezaji wa makubaliano na uongozi wa wizara, kaamua kukomaa na dai 1 tu la kumwondoa waziri na naibu, kaamua kutojikumbusha makubaliano ya pinda na drs. In short huyu naye ni fisadi ambao huona makosa kama tija mpuuzeni tu. Mimi kama mgonjwa mtarajiwa naunga mkono ma dr. Kugoma.Mtoa maada, la kuvunda halina ubani. Umeona maoni ya mmoja wa "washauri" wake (anajiita maundumula) hapo juu?
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
Hivi ni nini hasa kinachomfanya Kikwete ashindwe kuwaondoa Nkya na Mponda? Kama ni wazuri sana kwenye utendaji si awahamishie wizara nyingine?