The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 307
- Thread starter
-
- #21
Tatizo ni kiburi kilichopitiliza, umesahau wengi ya wale wanaokataliwa kwenye sanduku la kura yeye huwachagua kuwa wakuu wa mikoa,wilaya au kuwa mabalozi?Hivi ni nini hasa kinachomfanya Kikwete ashindwe kuwaondoa Nkya na Mponda? Kama ni wazuri sana kwenye utendaji si awahamishie wizara nyingine?
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
JAKAYA HATINGISHIKI NYIE HANGAIKEni TUU
madai ya madaktari yanafanyiwa kazi na serikali.nyie mnaotaka majibu baada ya siku tatu mjue kuwa utendaji na maamuzi ya nchi sio sawa na maamuzi ya familia ambayo wewe na mkeo mnaamka na kuamua jambo.hili ni suala la kitaifa linahitaji mambo mengi.subira inahitajika
Wewe endelea tu kutumika mpaka mimacho yote ifumbike. Usipoangalia mwaka huu watakutumia mpaka masaburi. Wewe huoni hatari ya Mgomo wa madaktari? Au wewe na wanao mnatibiwa India?Mbona mnatanguliza siasa au mnajua suala hili lina wanasiasa nyuma? manake kiongozi hawezi kufanya siasa kama hajachokzwa na wanasiasa wenzake. Tumabizane wakuu akina nanihii wako na Madaktari, jambo linalomkera Mkuu? Najua ndo zao kutafuta umaarufu.
je haiwezekani kampeni za uchaguzi mdogo arumeru ukafanyika kwa kujitolea na hizo fedha zoke zikatumika kulipia madai ya madr,na kununulia madawati ya shule za watoto wetu wa shule za msingi na sekondari jamani mie mimesema tu :flypig:
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
nasubiri kwa hamu siku ambapo itafika Watanzania tukaambiwa kuna bajeti ya 11 trillion na baada ya mwaka tukaletewa matumizi halisi ya hizo pesa.Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.
Hivi unategemea mtu mwenye upeo finyu kama huyu kuna akili imesalia kichwani kwake!!??Mtoa maada, la kuvunda halina ubani. Umeona maoni ya mmoja wa "washauri" wake (anajiita maundumula) hapo juu?
Rais hawezi kuwaondoa watendaji wake only kwa sababu madokta wanataka, akishamuondoa Nkya na Mponda watataka amuache na mama Salma Kikwete.