[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwenye mapenzi hata kama mmetoana ngeu bado kuna siku mtaifuta ngeu kwa mahaba.Once umefanya nae tendo,huyo ni wako daima.Trust me.Kuachana hakuja wahi kuwa kuzuri hata siku moja.Lakini kwa kuwa ninyi mwajuana vilivyo, mapenzi ni sehemu yenu,no matter what.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk