Epuka makosa haya

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
367
68
Tatizo kubwa na sugu la wanawake wengi ni kitendo cha kutoanzisha kwamba anataka sex na mume wake (initiating) na kumwachia mwanaume kama wajibu wake katika ndoa.
Je ina maana hakuna siku unakuwa umemtamani mume wako na ukaamua wewe kuanza?

Kushindwa kuanzisha kwamba unahitaji sex ni biggest mistake wanawake wengi wanfanya kwani wanaume wengi hujiona kama si sahihi (disequillibrium) katika kuimarisha mahusiano kama kila siku ni mwanaume tu ndo anachokoza.
Kimsingi hata mwanaume anajisikia vizuri pale mke wake anapolianzisha kwamba na yeye anataka.

Je, ni kueleza kwamba wanaume tunakuwa na interest kubwa wa sex na wanawake hawana au huwa hawapendi siku zote.
Naamini kuna wanawake ambao nao wanapenda sex kama wanaume.
Ni vizuri mwanamke kuonesha interest kwa kuchukua hatua kusema kila unapenda kwa mumeo na kwamba leo unamtamani na kumuhitaji siyo kila siku yeye tu miezi 12 na siku 365 na robo naamini mumeo akiona juhudi yako ya kulianzisha atafurahi na kukupa appreciation kubwa na unaweza kupata level upya ya satisfaction.
Hivyo kama wewe ni mwanamke anza leo.
Wasiwasi kwamba mwili wako upoje:
Kufikiria jinsi mwili unavyoonekana kwa mume wako na kuwa na wasiwasi kwamba anaweza kukuona labda mnene sana (fat zimejaa vipande vipande), au matiti makubwa sana au madogo sana au makeup ulizoweka usoni na mtindo wako wa nywele kichwani au sijui sehemu zingine zina rangi ipoje husababisha ushindwe ku-enjoy tendo la ndoa na mara nyingi unaweza kuharibu kila kitu hadi ushindwe kufika kileleni.
Jambo la msingi ukishakuwa na mumeo ni kuwa na total concentration kwa tendo lenyewe kwa raha zako zote.
Wanaume hufurahia mwanamke ambaye anajiamini na mwili wake na jinsi alivyo na anahusika mia kwa mia katika furaha ya tendo la ndoa na si kuwa na hofu na kujipiga kufuli kihisia.
 
Mchakachuaje... au wifi yetu hawezi kukuanza.. navyojua mie, wanawake nasi tuna haki, hamu kama wanaume ya kuwaanza wenza wetu. Tena madaktari wa Mapenzi wamedhibitisha ya kwamba katika sex, Mwanamke ndo anasikia raha kuliko Mwanaume. Chukua hiyo
 
Mchakachuaje... au wifi yetu hawezi kukuanza.. navyojua mie, wanawake nasi tuna haki, hamu kama wanaume ya kuwaanza wenza wetu. Tena madaktari wa Mapenzi wamedhibitisha ya kwamba katika sex, Mwanamke ndo anasikia raha kuliko Mwanaume. Chukua hiyo
lakini asilimia kubwa ni mpaka mwanaume ndio aanze
 
STRESS REMOVER!!! Asante at least nimempa shemejio kitu cha kusoma ngoja nione implication yake kwanza, ntakupeni feedback
 
lakini ni kweli, kwanini kila siku mpaka mimi ndo niwe nakuanza dear, hebu leo anza nione kama unayaweza?

au km vp tuweke time tebo nyum aya ktanda....j3 mpaka frday zamu yako kuanzsha mimi j1 mpk j2
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom