Kwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu
Umeharibuuzi@gmail.com
Kwakweli ni muhimu, kuna mbaba niliomba awe referee wangu aisee kucheki email address yake ina ..............boy@gmail duuh baadaye nikamtoa tuu
Weweninanga@gmail.comOaks ching of gmail.com
[emoji1] [emoji1] afu kuna afande kambi flani alikua anaitwa mkoka au ndiye wewe[emoji30] alikua na maneno huyoo. Akipania kutoa doso(adhabu) anasema " aki ya Mungu, mama angu mzunguuu, leo kuruti mtaroll nyiee[emoji1] [emoji1]

nimesoma aina za email hapa nacheka tuKatika CV yako!
Epuka kuweka Email kama hizi chugaboy@gmail.com
Tumia email yenye majina yako Mf. abdulazizmomba@gmail.com
Kila la kheri katika Hustling zako.