Epuka kutongoza kwa meseji (SMS); Ni big risk...

flash message inafanyaje kazi? Nifundishe kuitumia aisee,i bloody need to know this technology kabla sijauawa maana wake za watu kuacha siwezi.

Kha! Balaa hii.. Sasa na flash msgz si ndio utakamatwa. Msg ina display ikiingia. What if mumewe ndio ameishika simu?!
 
Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!

Dah! sikuelewa mwanzo halafu nikawa nahisi kuna kakitu kazuri ndani! sasa nimekupata una hataaaari lol. . ila umenipA mbinu hahahaaa!
 
Bishanga na siku ukikamatwa uje utwambie hapa. . by the way hujawai kutwa hata almanusura!
 
Dah! sikuelewa mwanzo halafu nikawa nahisi kuna kakitu kazuri ndani! sasa nimekupata una hataaaari lol. . ila umenipA mbinu hahahaaa!

Fanya kama huna mapresha,vinginevyo nenda pharmacy kwanza ukanunue dawa za kushusha presha'
 
Kha! Balaa hii.. Sasa na flash msgz si ndio utakamatwa. Msg ina display ikiingia. What if mumewe ndio ameishika simu?!
allaaaaa....kumbe? Wacha niendelee na utaratibu wa kuvizia wakati mzee kasafiri.
 
Kha! Balaa hii.. Sasa na flash msgz si ndio utakamatwa. Msg ina display ikiingia. What if mumewe ndio ameishika simu?!

Hatajua imetoka kwa nani. uzuri wa flash msg hata akisev hawez sev mtumaji.
 
mwanaume hatongozi kwa msg, raha umtokee mtoto umpe shule mpaka aingie line mwenyewe...
 
Sasa huo ni upumbavu. Kwa nn utumie vitu vyenye ushahidi wakati unafanya magendo? Kutumia sms lazima uwe free.
 
Back
Top Bottom