Epuka kutongoza kwa meseji (SMS); Ni big risk...

Unapaswa kufanyakaz kwa DPP wewe
Huu uzi unanikumbusha nilipovunja ndoa yangu,mimi nilichukua simu ya mke wng nikabadili jina lilikuwa limeandikwa mjomba,nikaweka namba yngu nayo ijua mimi ila wife haijui,nikakaa kama siku 2 hivi,siku ya 3 nikiwa job nikaweka ile line nikabeep wife,mara napokea msg vp mpenzi mbona hupatikani kwenye simu?najuzi nimekuja mitaa yenu nakupigia hupatikani,huwezi amini nilichat na wife msg kama 30 hivi kabla yeye hajastuka,mpk hapo nilishajua ushenzi wote nikavunja na ndoa leo mwaka wa 4 lakini huwa nikikumbuka mpk nahisi kusisimuka,hawa viumbe hawafai hata robo!msg ni risk kubwa sana,hata tulipokuja wekwa kwenye kikao cha family ilibidi nitoe ushahidi watu wote waliridhika na ushahidi wangu pale'
 
Hii kali mkuu!
Alafu ukute siku hii ndio ile wife alikuaga anaenda kumuangalia mama yake mzazi ni mgonjwa....! kumbe mambo juukwaju.

Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!
 
Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!

dah,ulipoweka mjomba,ulimuanzaje?
 
dah,ulipoweka mjomba,ulimuanzaje?

Nilitoka kwenda job ilipofika usiku nipo job,nikambeep tu,baada kama dk 5 yeye akareplay sms vp mpenzi?najua unauliza sana ili na wewe ukafanye,shauri yako'mimi hata baba yangu nlipokuja kumpa ushahidi alinitazama sana akaniambia wewe una roho ngumu kuliko mimi baba yako'najua wapo humu wamepata njia ya kuwakamata wapenzi wao shauri yenu
 
Dah! ngastuka,machale kunchezaa...kuanzia leo ni Flush Sms tu....
 
Nilitoka kwenda job ilipofika usiku nipo job,nikambeep tu,baada kama dk 5 yeye akareplay sms vp mpenzi?najua unauliza sana ili na wewe ukafanye,shauri yako'mimi hata baba yangu nlipokuja kumpa ushahidi alinitazama sana akaniambia wewe una roho ngumu kuliko mimi baba yako'najua wapo humu wamepata njia ya kuwakamata wapenzi wao shauri yenu

hahahahahah,nilitaka kujua jins ulivomuanza,ur inteligent kala
 
huu ndo mpango mzima..tena ile inafika tu kwenye inboxs inafunguka yenyewe....akizubaa inapotea hahahaaaa naipendaga sana

hata hiyo flash message ukimtumia mtu akishasoma kisha akaenda kwenye option atakuta neno save or ignore akisave tu jua umeumia. dawa mtokee face to face.
 
Nilitoka kwenda job ilipofika usiku nipo job,nikambeep tu,baada kama dk 5 yeye akareplay sms vp mpenzi?najua unauliza sana ili na wewe ukafanye,shauri yako'mimi hata baba yangu nlipokuja kumpa ushahidi alinitazama sana akaniambia wewe una roho ngumu kuliko mimi baba yako'najua wapo humu wamepata njia ya kuwakamata wapenzi wao shauri yenu
epuka kuchunguza chunguza mke wako labda kama umeyachoka maisha ya ndoa.
 
Back
Top Bottom