Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Uchumba wa baba mchungaji mwezi ndoa mwezi ujaoMsikimbilie ndoa kabla hamjajiandaa na kabla hujamsoma na kumchunguza vizuri utakayemuoa
Epukeni uchumba wa msimu mmoja!
Kuna mmoja huyo amemgeuza jamaa yangu mteja wa Ustawi wa Jamii kuna daftari kila mwezi lazima akasainiSi ulitaka mwenye elimu ππpambana kama umezaa nae ndo basi tena ..Kila siku utaenda kuripot ustawi wa jamii
πππKuna mmoja huyo amemgeuza jamaa yangu mteja wa Ustawi wa Jamii kuna daftari kila mwezi lazima akasaini
Kwani yenyewe Biblia inasemaje kwenye hilo!!??Msikimbilie ndoa kabla hamjajiandaa na kabla hujamsoma na kumchunguza vizuri utakayemuoa
Epukeni uchumba wa msimu mmoja!
Hii ni picha kutoka maktaba?? Maana sidhani kama kuna wanawake wa aina hii kwa kizazi cha leoHakuna mwanaume katili
kwa mwanamke mtiifu,
ukiona ndivyo sivyo,
Ujue Kuna shida mahaliView attachment 2520099
Kuna Video nimeiona kwenye mitandao ya WhatsApp, Balozi mstaafu sijui wa Comoro kasepa na fanicha zake Mke kabaki analalama huku anarekod na kuelezea hadi marupurupu ya ubalozi wa Mumewe,kumbe kuna fungu hadi la kula Bata .na marafiki Mabalozi huwa wanapewa!!!Ulitaka mwenye elimu si ndiyo?
πππAsilimia kubwa ya feminist,
Sura zao ziko Kama hivi,
Kua makini unapotafuta MKE.View attachment 2520100