Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Epuka kufanya mambo haya kwenye simu yako
Habari , leo ningependa kushare nanyi kitu hiki muhimu kuhusu simu zetu tunafahamu simu zetu zinatumika katika shughuli nyingi tu za kujipatia kipato kuburudika na hata kufanya mawasiliano kila sku za maisha yetu.
Leo ngoja niwaeleze jambo muhimu zaidi kuhusu simu zetu tunafahamu kila siku teknolojia inakua kwa kasi sana yaani watu wanatengeza vitu vipya kila siku na kuumiza vichwa lakini ngoja niwambie japo la epuka kwenye simu yako kufanya.
tafadhali jiepushe na tabia hizi 5 au vitu hivi ili kupata salama kwenye kifaa chako.
1 Epuka ku charge simu yako pale tu utakapokuwa umetoka kuichezea (games, apps nk ) na hivyo iache hipoe kidogo kisha weka charge
2 Epuka kutumia programu bandia ya kuokoa betri (battery save life) ya simu yako na programu ya kupambana na virusi kulinda kwenye simu yako.
3. Epuka ku delete(kufuta) folder la Android folder kwenye simu yako kwani data zako zote huifadhiwa huko
4 kwa usalama zaidi epuka ku download app na games kupitia web store ( website za nje )kupitia google ya kawaida pendelea sana kutumia app kutoka kwenye Google play store au app store kwa watu wa Iphone kwa usalama wa simu yako.
5 Epuka ku root simu yako kwani upelekea kuhalibu na kuiua kwa simu yako.japokua ku root kuna Raha yake simu inakua ya kipekee lakini Epuka kupendelea sana ku root simu.
UNAWEZA kututajia na wewe Kwenye simu zetu za android Tuepuke kufanya nini maana kuna mambo mengi ya kuepuka
Share kwa wengine wajifunze
Instagram
Login • Instagram
#Blessed All