..........Kuondoa restrictions zilizowekwa na developers kwenye Stock ROM (Android Operating System iliyokuja na simu kutoka kiwandani) na ku unhide features zingine zilizokua hidden ili wewe usiweze kuzifikia au kucustomize simu yako utakavyo kama vile kuondoa bloatwares (apps zilizokuja na simu) kwa hiyo ukiroot utaweza kuziondoa zote ukitaka na kuweka zako utakavyo....
...........Pia unaweza kuondoa miito yote usiyoipenda na kuweka yakwako tu au ya simu nyingine, unaweza kuondoa ile logo ya simu unapowasha simu (Boot animation) na ukaweka yako au picha yako au ya jina lako, kuna mengi sana unaweza fanya!
...........Nafikiri kidogo umepata mwanga!