heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,266
Poleni kwa misiba,
Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika.
Enewi twende na muda nafikiri mmesikia waliokuwa katk maandamano si watanzania najuwa hili huleta ukakasi sana mioyoni kwa watu
Epuka mjadala wa kubishana na yoyote kwamba walioandamana sio watanzania epuka sana maana ni mtego dhahiri
Tambua tu kwanza waliokufa ni binadamu haijalishi ni wa nchi gani
Mtu akianza zungumza usichangie mada ,
Maandamano yamefanywa na watanzania ,vijana walioiba mali ni vijana wa mitaani wanajulikana na baadhi umewaona ila kamwe usijaribu kuwa shahidi acha wakamatwe wenyewe
Hatua inayofuata ni kufanya Neutralise na safe removal watu watapotea kimya kimya
Wale waliofanya matukio mkanaswa na camera hakikisha una save that location disappear kabisa, mjulishe na ndugu au rafiki
Kazi iliyobakia ni kuwatafuta watu na kuwaangushia jumba bovu
Epuka hasira najuwa tupo na hasira ila jaribu kuzicontrol kwa sasa
Watakuja kusema ooh wanadamanaji hawakuwa na mabango mara hawakuandamana kwa amani all is bullshit mngeandamana kwa amani au kwa vurugu NJIA ILIYOKUWA IMEPANGWA NI MOJA TU
Gather those scape goat and slaughtering no mercifully
Vita mmepambana hawakutarajia kuua wengi hivi ila ilibidi muuaji mmoja anasema kwa lugha ya kigeni i saw they were coming as zombies no fear of gun,
Epuka kupokea namba ngeni zenye maelezo mengi,mtu usiemjua anaejifanya yupo upande wako
Vitaanzisha vikundi feki venye silaha vikijifanya wapigania haki kamwe usiingie katika mtego
Mapambano yetu yameisha ujumbe umetumwa tutajipanga upya kwa sasa tuzike waliotangulia tujipange upya