Epstein alipomuua Khamenei

Epstein alipomuua Khamenei

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
1772333803801.png

Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yao. Je, vumbi likitua, atamshambulia nani na hii hadi lini wakati mafaili yenyewe yapo?
 
View attachment 3550361

Acha porojo Mzee.

Hakuna uhusiano kati ya Epstein na Iran.
 
Acha porojo Mzee.

Hakuna uhusiano kati ya Epstein na Iran.
Connection ipo
Trump ana divert mjadala kwa kuunganisha nchi dhidi ya adui mmoja iwe Venezuela, Iran n.k na akitoka hapo ni Greenland.

Same to Netanyahu ana kesi ya ufisadi imemkalia kooni anaweza kuwa impeached. Ila ni miaka 2 sasa kesi inahairishwa sababu nchi ipo vitani.
 
View attachment 3550361
Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yao. Je, vumbi likitua, atamshambulia nani na hii hadi lini wakati mafaili yenyewe yapo?
Huna hoja.
 
Ni mlundikano wa hekaheka. Maduro yuko korokoroni Marekani na serikali yake iko vilevile inaendelea kupiga pesa na Trump. Tayari Venezuela wameshamjaza Trump petrodollars $500m kwenye akaunti yake ya binafsi iliyoko Qatar. Watu wamesahau.

Kaweka pending nia yake ya kujimilikisha madini adimu ya Greenland na kuijumlisha Canada kama jimbo la 51. Hajafuta madai. Lakini watu wameanza kusahau.

Kaunda baraza la amani ili kutekeleza mpango wa kuwekeza beach resort pwani ya Gaza (a nice piece of real estate). Hana habari na Wapalestina wenye nchi yao. Watu wanachukulia mzaha.

Sasa anashusha makombora Iran na kuwataka Wairan wachukue nchi yao. Hapohapo anatafuta mtu wa kujadili naye dili la biashara ya mafuta ya Iran kwa ajili yake na marafiki zake Mabilione kina Witkoff.

Bahati mbaya mafaili ya Epstein yanazidi kuibuka tu na sasa zimekutwa kurasa zenye ushahidi wa yeye kumbaka binti mwenye miaka 13 miaka ya 1980. Kurasa zilikuwa kwa Netanyahu (mshirika muhimu wa Epstein enzi hizo akishirikiana na MOSSAD) zikadukuliwa na wadukuzi wa Iran na kuwafikia FBI.

Btw, Trump, Netanyahu na Putin pona yao ni kuwepo kwa vita wanazoziongoza. Nje ya hizo vita madaraka yao na uhuru wao vitakuwa mashakani sana. Kwa Putin hata uhai wake utakuwa hatarini. Hakuna cha mazungumzo ya amani, ni vita hadi ukamilifu wa dahari. Na wote walikuwa washirika wa Epstein.

Si mchezo. Nani angeelewa Trump, Rais wa Marekani, baada ya kumng'oa Bashar Al-Assad, akamsimika Ahmed Al Sharaa (aka Abu Mohammad Al-Julani) aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda kuwa Rais wa Syria na kumpa sifa kede kede: eti a very nice guy, a handsome young man, a sure piece of work! Hapo alikuwa alikuwa akipewa maelekezo na Netanyahu na Putin wenye taarifa zake mbovu toka kwenye mafaili ya Epstein.
 
View attachment 3550361
Kwa wanaojua kinachoendelea kuhusiana na kashfa ya ngono na uzinzi za Tramp hata Netanyahu, wanajua ni kwanini Marekani na Israel wanashambulia wenzao. Nadhani Trump ametumia hii kuepusha madhara ya mafaili ya Epsten dhidi yao. Je, vumbi likitua, atamshambulia nani na hii hadi lini wakati mafaili yenyewe yapo?
Kobaz bhana 😂

Mtaongea sana kutafuta sababu ila Trump n mume wenu lazima mkazwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom