EPL - Ligi bora zaidi duniani ona takwimu zake ukiilinganisha na la liga

Na mtu sahihi wa kutueleza ubora wa ligi ni kama akina Jose Mourhinho, angalau amefundisha timu kwenye ligi zaidi ya moja ULAYA.
 
Ni rahisi sana kutabiri matokeo ya mechi za La liga kuliko EPL.

Historia nyingi za soka zimeandikwa EPL.

La liga ina nguvu ya pesa zaidi na si ubora huo unaohubiriwa.
Historia kama ipi? Nguvu ya pesa la liga Ipo kwa barca na Madrid epl nguvu ya pesa ipo kwa chelsea man utd na man city huoni bado EPL inatumia nguvu ya pesa zaidi?
 
Data nimeziona hapo

Kwa maana ya quality ya wachezaji, basi la liga ina wachezaji wenye quality nzuri kama kina Ronaldo, Neymar na Suarez

Lakini kwa maana ya burudani, ushindani, sarakasi na vituko vya hapa na pale basi EPL.
Kwa hiyo EPL is the best kwani it is very exciting

Mtani utaacha lini kumchukia messi? Yani unaweka vitakataka hapo/pampers hapo unamwacha professional mwenyewe
 
Mimi huwa nashindwa kuwashangaa haswa shabiki wa Mpira wa Miguu hapa Tanzania,Hiyo wanayo ikomalia kwamba Ndio Ligi bora Laliga walio wengi huwa wanakwenda kuangalia mechi ya Barcelona vs Real Madrid tu inastajaabisha kwakweli.

Epl Ndio ligi bora pamoja na misukuko inayopitia hivi Sasa.
Ukiwauliza sababu zinazofanya laliga iwe ni ligi bora ni nini hasa, wanakwambia dominance ya Madrid na Barcelona kwenye uefa pamoja na kutoa mshindi wa balloon d'or kila mwaka.

Wamesahau hata serie A vilabu kama AC millan,Juventus viliwahi kiutawala soka la ulaya na kutoa wachezaji bora lakini kamwe Serie A haijawahi kuwa ligi bora kuliko EPL.
 
Hizo team za EPL zileteni UEFA au Europa uone zinavyombwela.....alafu timu ya TaifA ya england ndo ushuzi wa kutupa.

Yani hawa wanaosema epl ligi bora. Ebu tuwapatie OSASUNA au ALAVES tu Wakawashikishe adabu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ukiwauliza sababu zinazofanya laliga iwe ni ligi bora ni nini hasa, wanakwambia dominance ya Madrid na Barcelona kwenye uefa pamoja na kutoa mshindi wa balloon d'or kila mwaka.

Wamesahau hata serie A vilabu kama AC millan,Juventus viliwahi kiutawala soka la ulaya na kutoa wachezaji bora lakini kamwe Serie A haijawahi kuwa ligi bora kuliko EPL.

Mkuu. Mkubali tu La liga ndiyo ligi bora duniani.

Timu zipi zinapokezana UEFA CUPS kama sio Barca na madrid! Timu zipi zinakutana maranyingi UEFA FINAL kama si kutoka Spain! Kama epl ni ligi bora kwanini wao wasifike FINAL na hata EUROPA tu? bora kidogo man city alijitahidi lakini end of the day akanyukwa 4 ndani ya ufaransa na kutolewa kwa aibu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hebu kuweni serious kufananisha EPL na La Liga. Mfano tu rahisi, mwaka 2010 pale minaki kuna kijana mmoja alikua wa 3 kitaifa matokeo ya form 6, 2012 kadhalika akatokea mwingine.

Then Chukua shule kama Loyola au St Anthony hawajatoa maTO kwa mda mrefu. Swali la kujiuliza Minaki ni bora kuliko st Anthony au Loyola?

Kuwa na timu 2 au 3 ambazo ni Giants hakumaanishi ligi yako ni bora bali kuwa na mlingano kwa kila timu (balance) ndo kila kitu.

Epl ina mlingano mzuri kwa timu zake ukilinganisha kwa madrid. Ukiangalia timu zilizopo top 6 epl hazijapishana sana vikosi vyao Kadhalika timu zilizopo middle of the table.

In Laliga the case is different ukiangalia gap la vikosi btn top 6 teams ni kubwa kweli kweli. Only 2 teams zina ulingano wa vikosi. Ndio maana huyo AM hapindui kwa barca ni lazima agongwe tu.
 
kwa muda mrefu kumekuwa na malumbano juu ya ipi ni ligi bora duniani
kwa takwimu hapo chini nazani tunaweza kuumalza ubishi kam sio kuupunguza

tafadhari tazama katika link hapo chini

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga
Upuuzi mtupu, ina maana umeshindwa kutumia akili yako??
La liga ndo ligi bora ikifuatiwa na bundesliga. Epl inashindana na le championat, epl no bora kwa kuwa na pesa!
 
Ukiwauliza sababu zinazofanya laliga iwe ni ligi bora ni nini hasa, wanakwambia dominance ya Madrid na Barcelona kwenye uefa pamoja na kutoa mshindi wa balloon d'or kila mwaka.

Wamesahau hata serie A vilabu kama AC millan,Juventus viliwahi kiutawala soka la ulaya na kutoa wachezaji bora lakini kamwe Serie A haijawahi kuwa ligi bora kuliko EPL.
Hayo unasema wewe, watanzania wanaangalia EPL sababu labda ya ukoloni na urithi wa ushabiki kutoka kwa Ndugu zetu, lakini ukienda DRC Congo wanaangalia ligi ya Ufaransa.....ligi ya EPL haina kitu, ndo maana sitashituka nikisikia bundesliga ni bora kuliko epl
 
Mkuu. Mkubali tu La liga ndiyo ligi bora duniani.

Timu zipi zinapokezana UEFA CUPS kama sio Barca na madrid! Timu zipi zinakutana maranyingi UEFA FINAL kama si kutoka Spain! Kama epl ni ligi bora kwanini wao wasifike FINAL na hata EUROPA tu? bora kidogo man city alijitahidi lakini end of the day akanyukwa 4 ndani ya ufaransa na kutolewa kwa aibu.

Hivyo sio vigezo vyenye uzito wa kuifanya Laliga iwe ligi bora kuliko EPL.

BTW Messi kapigwa ban ya mechi 4 huko kwao kwa kosa la utomvu wa nidhamu na hii ni athari sana kwa Argentina
 
unakosea kuangalia thamani ya ligi na vilabu. UK uchumi wake ni mara mbili ya uchumi wa hispania. kwahiyo haishangazi hata timu ndogo kuwa na pesa. ila La liga kuna timu na mpira bora sana. mpira wa EPL hauna ladha kabisa. kama wa yanga na simba, beki akiosha(butua mbele) anashangiliwa balaa.
 
Hebu kuweni serious kufananisha EPL na La Liga. Mfano tu rahisi, mwaka 2010 pale minaki kuna kijana mmoja alikua wa 3 kitaifa matokeo ya form 6, 2012 kadhalika akatokea mwingine.

Then Chukua shule kama Loyola au St Anthony hawajatoa maTO kwa mda mrefu. Swali la kujiuliza Minaki ni bora kuliko st Anthony au Loyola?

Kuwa na timu 2 au 3 ambazo ni Giants hakumaanishi ligi yako ni bora bali kuwa na mlingano kwa kila timu (balance) ndo kila kitu.

Epl ina mlingano mzuri kwa timu zake ukilinganisha kwa madrid. Ukiangalia timu zilizopo top 6 epl hazijapishana sana vikosi vyao Kadhalika timu zilizopo middle of the table.

In Laliga the case is different ukiangalia gap la vikosi btn top 6 teams ni kubwa kweli kweli. Only 2 teams zina ulingano wa vikosi. Ndio maana huyo AM hapindui kwa barca ni lazima agongwe tu.
Mimi naona hao ambao hawajipishana point ni vilaza wakutupwa, maana haiwezekani katimu kaliko panda daraja juzi kanakua bingwa wa EPL. Timu za EPL zote viwango sawa tu, ndo maana wakija UEFA au Europa wanashikishwa adabu alafu wanarudi EPL kuvunjana miguu huko....hivi hujiulizi ni kwanini mafather wa soka hawajathubutu kugusa EPL mfano Ronaldo delima, rivaldo, zidane, mchawi gaucho, the king himself Messi, maradona, kaka, cafu, Roberto Carlos, cr7 aligusa kidogo akasepa, figo nk nk.....hawajagusa EPL kwasababu hailei vipaji alafu sio ligi bora labda ni ligi maarufu tu
 
unakosea kuangalia thamani ya ligi na vilabu. UK uchumi wake ni mara mbili ya uchumi wa hispania. kwahiyo haishangazi hata timu ndogo kuwa na pesa. ila La liga kuna timu na mpira bora sana. mpira wa EPL hauna ladha kabisa. kama wa yanga na simba, beki akiosha(butua mbele) anashangiliwa balaa.
Hahahahahahaha alafu na mtu akivunjwa wanashangilia balaa, mfano wanayule mashine yao ya kuvunja watu miguu inaitwa shawcross
 
Hayo unasema wewe, watanzania wanaangalia EPL sababu labda ya ukoloni na urithi wa ushabiki kutoka kwa Ndugu zetu, lakini ukienda DRC Congo wanaangalia ligi ya Ufaransa.....ligi ya EPL haina kitu, ndo maana sitashituka nikisikia bundesliga ni bora kuliko epl
Mkuu upo kongo sehem gani
Maana mimi najua wakongo huangalia sana EPL
 
unakosea kuangalia thamani ya ligi na vilabu. UK uchumi wake ni mara mbili ya uchumi wa hispania. kwahiyo haishangazi hata timu ndogo kuwa na pesa. ila La liga kuna timu na mpira bora sana. mpira wa EPL hauna ladha kabisa. kama wa yanga na simba, beki akiosha(butua mbele) anashangiliwa balaa.
Kati ya miaka 8
Barca kawa bingwa mara 6
Hamna ligi hapo, huwa mnaenda ku confirm tuu jamaa atachukuaje ubingwa.
Ligi ya EPL ki ukweli ina kila aina ya burudani na ushindani
 
kwa muda mrefu kumekuwa na malumbano juu ya ipi ni ligi bora duniani
kwa takwimu hapo chini nazani tunaweza kuumalza ubishi kam sio kuupunguza

tafadhari tazama katika link hapo chini

TAKWIMU - Epl ligi bora duniani ikifuatiwa na la liga
Mm naomba untajie timu kubwa england ambayo huwa inazisumbua timu ndogo za spain....
Maana mm naonaga wakikutana timu za engl huwa zinaonewa sana...
Ili ligi yako iwe bora uwe na uwezo wa kuwatesa ligi nyngne..
 
Hahahahahahaha alafu na mtu akivunjwa wanashangilia balaa, mfano wanayule mashine yao ya kuvunja watu miguu inaitwa shawcross
we acha tu mkuu. sometimes wanashangilia unabaki kujiuliza wanashangilia nini!?. ukiona unataka kuangilia mpira mzuri na kuna mechi ya palmas vs betis na huku kuna Man U vs Liver. kaangalie ya Palmas.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mimi naona hao ambao hawajipishana point ni vilaza wakutupwa, maana haiwezekani katimu kaliko panda daraja juzi kanakua bingwa wa EPL. Timu za EPL zote viwango sawa tu, ndo maana wakija UEFA au Europa wanashikishwa adabu alafu wanarudi EPL kuvunjana miguu huko....hivi hujiulizi ni kwanini mafather wa soka hawajathubutu kugusa EPL mfano Ronaldo delima, rivaldo, zidane, mchawi gaucho, the king himself Messi, maradona, kaka, cafu, Roberto Carlos, cr7 aligusa kidogo akasepa, figo nk nk.....hawajagusa EPL kwasababu hailei vipaji alafu sio ligi bora labda ni ligi maarufu tu
Well, Tukianzia kwa hao so called Godfathers hapo uliowataja sio kwamba hawataki/hawakutaka kucheza epl kwasababu ulizoainisha ila kwa namna moja ama nyingine waliogopa na wanaogopa changamoto zilizopo uingereza.

Messi kuifunga Arsenal kila wakati sio kwamba angekua anaifunga soton au Sunderland kiurahisi.

Tukirudi kwenye ubingwa wa The Fox sio kwamba ni ukilaza na uache kuwadharau kwasababu kila timu inapoanza mashindano inakua na ndoto za kuwa bingwa. Na kila timu inatakiwa iwe na equal chance ya kuchukua ubingwa. Na ili ligi iwe bora ni lazima iwe unpredictable. Sasa unapowadharau Leicester ambayo ipo quarter final cl tena kwa kuwatoa Sevilla ambayo inatoka kwenye liga unayodai ni bora it's totally unfair.

Kwa kuwa kwake predictable La Liga inapoteza msisimko wa kuwa ligi bora. With reference to Mourinho na Guardiola baada ya kuzurura ligi kadhaa wamekiri na kuadmit kwamba epl is the toughest league.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom