mawazo yako si ya kawaida hayo, utakuwa umejiloga wewentakuloga wewe ili uache ubishi
Kusema ukweli tangu nianze kuangalia haya mashindano ( kwa wiki mbili tu sasa) nakubali kipaji cha huyu WALTER!! kweli ni muimbaji ambaye anaweza kumtia mtu hisia na kumuweka mshabiki majaribuni!! Namtabiria makubwa kama atatulia hivi alivyo na apewe ushauri mzuri atafika mbali....KWANGU... HUYU NDIYE STAR WA MIAKA YOTE TANGU BSS IANZISHWE!!
Mungu awatangulie wote na matokeo yaje hivi
1. Walter
2. Nsami
3. Salma
4. Nshoma
5. Wababa
Oneni mzuka wa star search na performance kwengine na jinsi wanavyotoa vipaji, sio bongo watu wana-mbwela!na hamtaki kukosolewa lakini pia mjipime - Innocent Balume DRC na keshatoka toka mwaka jana mpaka sasa dogo anacollable kibao na watu wenye majina akiwepo Akon. https://www.youtube.com/watch?v=GvpqeBkkSbc
Nakubaliana na wewe kabisa. Alafu SALMA anafuata. Wengine kawaida sana.
Badala ya kupiga kura mnakazana mshindi fulani,
Sion anachokiimba, au ameloga apate mil 50? manake naona kama majaji wamepigwa ganzi. japo salama amechana live kuwa haelewi anachoimba.
Akishinda ntajua KALOGA
naunga mkono hoja. jamaa anabebwa sanaSion anachokiimba, au ameloga apate mil 50? manake naona kama majaji wamepigwa ganzi. japo salama amechana live kuwa haelewi anachoimba.Akishinda ntajua KALOGA
Piga kura mkuu!
Umempigia kura?
Muongezee ushindi
Tupia hata ka meseji kamoja ushindi uongezeke
Ndo hapo wabongo tunasubiri mshindi wakati kura hatupigi