Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

kwa kweli kwa sisi wataalamu pale kuna wanamziki wawili tu, walter na salma baaaaaasi hawa wengine giza tupu,
 
Dah BSS tena, nshakosa hamu hata ya kuufuatilia aisee!
 
Kusema ukweli tangu nianze kuangalia haya mashindano ( kwa wiki mbili tu sasa) nakubali kipaji cha huyu WALTER!! kweli ni muimbaji ambaye anaweza kumtia mtu hisia na kumuweka mshabiki majaribuni!! Namtabiria makubwa kama atatulia hivi alivyo na apewe ushauri mzuri atafika mbali....KWANGU... HUYU NDIYE STAR WA MIAKA YOTE TANGU BSS IANZISHWE!!

Mkuu napigia mstari compliments zako, Walter ni noma ila kama hana zali vile. Mpigie kura basi si maneno matupu
 
Yote kwa yote haya mashindano yamepoteza mvuto Mf mtu anakuwaje Star kwa ku copy kuimba nyimbo za watu wengine washiriki wapewe nafasi ya kuonyesha vipaji vyao kwa kuonyesha nyimbo zao ndio maana mshindi anavuma kwa wiki tuu anatoweka milele

ndugu yangu, hakuna star aliyeanza kutunga wimbo wake, wote wameanza kujifunza kwa wengine hata marekani lipo zoezi kama hili linaitwa American Idol
 
Mungu awatangulie wote na matokeo yaje hivi
1. Walter
2. Nsami
3. Salma
4. Nshoma
5. Wababa

Kwa hiyo nawe unataka kuroga ili matokeo yawe hivyo? Mimi huyo Salma ndio namsikiaga anajiumauma tu na sauti yake inayokwaruza.
 
1.salma
2. Nsami
3Nshoma

4. walter
5. Wababa
 
Kwa hiyo nawe unataka kuroga ili matokeo yawe hivyo? Mimi huyo Salma ndio namsikiaga anajiumauma tu na sauti yake inayokwaruza.

Nimesema Mungu awatangulie, Mungu na kuloga wapi na wapi? au humjui Mungu wewe?
 
Mtu mzima dawa! Wababa anajua kuwashika japo hamshindi wolter yule dogo ni noma Ila mwaka Jana alishinda mwanaume mwaka huu ni dem mkubali mkatae alafu wa pili ndo wolter wababa wa 3 habari ndo hiyo!
 
Na iwe hivyo!!!
Piga kura mkuu!
Mwaka huu ushindi unaenda Zanzibar..mtake msitake ushindi anapata yule dada wa Zanzibar.mshindi no 2 atakuwa Nsami,Wababa,Nshoma na Walter.....stay tuned!
Umempigia kura?
kwa kweli kwa sisi wataalamu pale kuna wanamziki wawili tu, walter na salma baaaaaasi hawa wengine giza tupu,
Muongezee ushindi
Mshiriki wa Zanzibar ni entertainer wa ukweli.
Tupia hata ka meseji kamoja ushindi uongezeke
Badala ya kupiga kura mnakazana mshindi fulani,
Ndo hapo wabongo tunasubiri mshindi wakati kura hatupigi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom