Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

He kumbe imebadilika me najua mshindi alishasemwa kitambo tangu inaanza ni salma wa zenji sababu mzigo ni wa zantel na zanzibar hawajawahi kupata tangu ianze

Tusubiri ijumaa,japo me siamini sana wanachokifanya kukopi wimbo wa mtu ni easy ila kutengeneza melody yako na kuitumia ndio ishu wababa yule ni intertainer anacheza anaimba na anakufanya umuangalie ndio maana anapita na wengine ni wanaimba ili sauti zao zisikike na wasikosee

All in all wote ni washindi na makopicat wazuri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mule mule nami ulikuwa mtazamo wngu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom