Epiq Bongo Star Search wanambeba WABABA

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Sion anachokiimba, au ameloga apate mil 50? manake naona kama majaji wamepigwa ganzi. japo salama amechana live kuwa haelewi anachoimba.
Akishinda ntajua KALOGA
 
Sion anachokiimba, au ameloga apate mil 50? manake naona kama majaji wamepigwa ganzi. japo salama amechana live kuwa haelewi anachoimba.
Akishinda ntajua KALOGA
inaonekana hata ukijikwaa tu unakimbilia kwa waganga
 
Nakuunga mkono ww HUNIJUI maana inaonyesha vipaji unavijua hao c huwa wanacheza dili zao tu wagawane kwanza kwanini washindi wao huwa wakitoka hapo ndo basi tena wanasahaulika kabisa na maendeleo hayaonekani kwa wote inatupa mashaka kama zawadi zinawafikia sawa sawa au kuna changa la macho coz huwez kuniambia wote wanachezea hela,ss hv tunaona wanaforce mshindi wanamuacha Nsami na Walter so wanatupa mashaka kwamba hivyo vipaji vya hao vijana hawavioni au n mbwembwe zao tu.
 
Kusema ukweli tangu nianze kuangalia haya mashindano ( kwa wiki mbili tu sasa) nakubali kipaji cha huyu WALTER!! kweli ni muimbaji ambaye anaweza kumtia mtu hisia na kumuweka mshabiki majaribuni!! Namtabiria makubwa kama atatulia hivi alivyo na apewe ushauri mzuri atafika mbali....KWANGU... HUYU NDIYE STAR WA MIAKA YOTE TANGU BSS IANZISHWE!!
 
Salama ndo maana nampenda yeye hana shobo anaongea kilichomoyoni bila kuangalia cjui utamuonaje au utamuelewaje na ndo mtu mkweli inabidi awe hivyo
 
Mwaka huu ushindi unaenda Zanzibar..mtake msitake ushindi anapata yule dada wa Zanzibar.mshindi no 2 atakuwa Nsami,Wababa,Nshoma na Walter.....stay tuned!
 
kuna mshiriki madammu ritha alisema hata asiposhinda atafanya nae kazi siku za usoni yule ndio mshindi wangu ! kama hakutakuwa na zengwe na walogaji kama jinsi imezungumzwa hizo cheda zake wanaume mwaka huu wanaboa mbaya! labda wababa kidogo ili si mshindi hawafiki wale wadada wawili nkwabi atakuwa wa mshind wa 3!
 
He kumbe imebadilika me najua mshindi alishasemwa kitambo tangu inaanza ni salma wa zenji sababu mzigo ni wa zantel na zanzibar hawajawahi kupata tangu ianze

Tusubiri ijumaa,japo me siamini sana wanachokifanya kukopi wimbo wa mtu ni easy ila kutengeneza melody yako na kuitumia ndio ishu wababa yule ni intertainer anacheza anaimba na anakufanya umuangalie ndio maana anapita na wengine ni wanaimba ili sauti zao zisikike na wasikosee

All in all wote ni washindi na makopicat wazuri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yote kwa yote haya mashindano yamepoteza mvuto Mf mtu anakuwaje Star kwa ku copy kuimba nyimbo za watu wengine washiriki wapewe nafasi ya kuonyesha vipaji vyao kwa kuonyesha nyimbo zao ndio maana mshindi anavuma kwa wiki tuu anatoweka milele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom