@Chapa Nalo, mimi ni denti wa Chuo cha Taifa na muathirika wa yale ya juzi. Moja ya ajenda za maandamano yetu yalikuwa ni kushinikiza Serikali iangalie upya suala la kulipa Sh. Bilioni 94 kwa kampuni hewa ya DOWANS. Hilo si la manufaa ya taifa mkubwa?
Hujui kama kibonde ni mgonjwa?
Duuuh!Nafikiri tatizo la kibonde ni moja-amelewa umaarufu.I think his time is soon over.If he could keep quiet and concetrate on his career,he would garner a substantial reputation.To give the devil his due,this guy is talented but anajiharibia mwenyewe.Hayuko mbali na mwisho wake-he will hit against the wall and fall
Hujui kama kibonde ni mgonjwa?