Click_and_go
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 451
- 7
....ni hivi juzi tu tulishuhudia maandamano makubwa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam campus ya Mlimani,,,wakidai ongezeko la fedha za matumizi ya kila
siku kufikia shilingi 10,000/=, madai ambayo hata uongozi
wa chuoni hapo pamoja na serikali wamekiri kuwa ni ya msingi kutokana na kupanda kwa gharama za maisha!
...Cha ajabu aliibuka mvivu mmoja wa kufikiri, mtangazaji wa clouds fm, station ambayo napenda sana kuisikiliza,
ndugu KIBONDE na kuanza kujitafutia umaaruku kupitia maandamano hayo!!! Akaanza kuropoka ya kwamba madai
ya wanafunzi hao hayana msingi wowote!
...sijui alidhani ya kwamba serikali itatoa jibu kama la kwake na labda angepandishwa cheo,,,au sijui aliogopa wanafunzi hao wangemzidi mshahara???@#$?
....najiuliza sipati jibu ila kimsingi napenda kumjulisha huyu mvivu wa kufikiri ya kwamba uandishi wa habari na utangazaji sio kujua kuongea tu,,,kuna maadili ya vyombo vya habari! hata kama elimu ni ya kuunga unga,,,ni bora kufikiri kwanza kabla ya kutoa taarifa kama hizo!!!!
HUYU KIJANA ANAJITAFUTIA UMAARUFU VISIVYO,,,VIKIRI KABLA YA KUTENDA!!!!!!
mbona nasikia huyo bwana sio riziki?? ni kweli jamani????
kibonde hajaanza leo kuongea utumbo na sio tu kwa swala la udsm alkuwa anamponda sana sugu wkt ule akidai hatashinda. Tatizo lake ni elimu ndogo na hiyo ndogo aliyanayo ni ya kuunga unga, hana maadili ya uandishi wa habari coz sometym anaogea uncensored words i wonder kusaga anawatoa wapi hawa morons na machoko ka wale xxl akili zao ziko huko wanakokakia