Ephen

Ephen

Yah binadamu tunafagilia mizagamuano ila member makini wa JF hawafagilii huu utoto unaofanya.
Nna Imani umenielewa
Sija kuelewa sababu una fosi watu waishi unavo taka wewe na sio kuheshimu tamaduni na tabia za wengine, mi ni msela, na haya ndo maisha yangu nayo ishi kila siku kosa lipo wapi hapo
 
Ephen❤️
Screenshot_20260916-213029.png
 
Jamaa bado sana, unatakiwa ukuwe kwanza huwa hatupaparukii manzi kishamba namna hii, anza kuzoeana na member waone kabisa hapa kuna kitu. Sasa wewe unataka tu demu akuelewe na hauna mazoea ya aina yoyote nae? Acha ushamba na hakuna mtu atachukulia bandiko lako kwa makini maana hauna hata swaga kabisa

Usije tena kuniomba ushauri wa kumpata mdogo wangu ephen_
 
Kwa nin mashangazi huwa wanakuita chiwawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom