Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,280
- 7,681
- Thread starter
- #21
Umejuaje,Kuna mvua za hapa na pale naona vijana wanafanya maandalizi
Umejuaje,Kuna mvua za hapa na pale naona vijana wanafanya maandalizi
Mchepuko wako anakuacha unabaki mwenyewe pole ndio uzeeUzi tayari
Kwani huko Daslamu tayari zinanyesha?Kipindi Cha mvua thread za hivi ni nyingi
Mara Moja Moja zinapiga.ila zinaambatana na joto kaliKwani huko Daslamu tayari zinanyesha?
Seran alishaandikiwa uzi?Anaefuata sijui nani..ukute kijana ana list ndefu🤣
Kwa mara ya kwanza takua tayari kuingia chumvini, yote hiyo ❤️ nampendaKuna mvua za hapa na pale naona vijana wanafanya maandalizi
Na wengi tu..hujawahi kuona?Seran alishaandikiwa uzi?
Kwa mara ya kwanza takua tayari kuingia chumvini, yote hiyo ❤️ nampenda
Kuna binadamu dunia hii hafagilii mizagamuano, una umri gani binti?Kila la heri kijana.ila sidhani kama mwenyewe anafagilia haya mambo
Yah binadamu tunafagilia mizagamuano ila member makini wa JF hawafagilii huu utoto unaofanya.Kuna binadamu dunia hii hafagilii mizagamuano, una umri gani binti?
Hakuna kitu ulimjengea nyumba nyamazagaephen_ hii shutuma ni nzito. Kama una namba za Job Mrema au Nassoro Katuga nitumie haraka ili wanisaidie kufungua kesi ya madai.
Wapi huko kuna mvuaKuna mvua za hapa na pale naona vijana wanafanya maandalizi
ephen_ hii shutuma ni nzito. Kama una namba za Job Mrema au Nassoro Katuga nitumie haraka ili wanisaidie kufungua kesi ya madai.
Mbona dar zilianza kunyesha?Wapi huko kuna mvua
Njia ni wewe mwenyewe