Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Hahaha kwendaaaNa mie ndio nilikuwa nataka nikuulize nilijua labda umemfungia sehem
Kwa kuwa sijajua kilichompata ndugu yangu.
Mara ya mwisho alisema anaenda kuhesabiwa ila mpaka leo kimya.
HahahaHahaha kwendaaa
Ww mletee kaka etu banaa
Hahaha kwani ww ulifikiria ni nani?Hahaha
Kumbe kwako ni kaka!! Asee afadhali.
Nimefurah kuskia hivo.
Ngoja itabid nifanye msako, nani mwingine kapotea hapa maana atakuwa naye huko.
Aaah! Nilifikiri supermarket anaendela kujenga uzio, nikawa naogopa ntagombana naye. Ilikuwa ina niuma sanaHahaha kwani ww ulifikiria ni nani?
Kwani ww unataka kujenga uzio kwa wangap jmn?Aaah! Nilifikiri supermarket anaendela kujenga uzio, nikawa naogopa ntagombana naye. Ilikuwa ina niuma sana
Leo nimepata habar njema hiyo
Afadhali kama alikuaga anaenda hesabiwa yawezekana huko network inasumbua ila wifi yetu tuna mashaka naeNa mie ndio nilikuwa nataka nikuulize nilijua labda umemfungia sehem
Kwa kuwa sijajua kilichompata ndugu yangu.
Mara ya mwisho alisema anaenda kuhesabiwa ila mpaka leo kimya.
Hahaha kumbe sakayo na wifi unamjuaAfadhali kama alikuaga anaenda hesabiwa yawezekana huko network inasumbua ila wifi yetu tuna mashaka nae
Namjulia wapi Aisha, nilikuwa nawaza tu kwa sautiHahaha kumbe sakayo na wifi unamjua
Hahaha haya bwanaNamjulia wapi Aisha, nilikuwa nawaza tu kwa sauti
Hehehe eti mnaa Enzi za ujamaa kulikuwa na mnaa kweli?
SawasawaEnzi hizo unaa ndiyo ulikuwa kwao, ilifika wakati mume hamuamini mke na mke hamuamini mume.
Tuulize tuliokuwepo.
Tena vijana wa sasa mna bahati sana, tuliokuwepo enzi hizo tungali hai, miaka michache ijayo mtakuwa mnasomeshwa ujinga tu kuhusu enzi hizo , at least sasa mnao eye witnesses na mnaweza kutuuliza chochote ili muielewe kweli.
Aaah!!Kwani ww unataka kujenga uzio kwa wangap jmn?
Maana na ww sio wa kispot spot kabisa [emoji3] [emoji3]
Yuko mmoja tuAaah!!
Kwani kina Aishah2016 wako wangap!? Maana malengo yangu yako hapo tuu!
HahahaYuko mmoja tu
Kwaiyo wale wakina nanihii hauna malengo nao
Au ndo mfalme mswati [emoji14]
Unaa ulianza kabla Kristo[emoji2][/QUOTE
Hahaha haya baana..Hahaha
Yuko mmoja tu wewe, hao wengine sijajua ni kina nan.
Tuanze mwaka vizuri bas
Teh tehHahaha haya baana..
Heri ya mwaka mpya kwa mara nyingine
Aisee basi inshaalah mwenyez munguTeh teh
Sawa lakin
Jua bila wewe mwaka hata hauta kuwa mzuri.
Kaka supermarket pia angependa kutuona pamoja