Enzi zileeeeee

Enzi zileeeeee

Na hii je mnaikumbuka
 

Attachments

  • 1404777001604.jpg
    1404777001604.jpg
    65.5 KB · Views: 583
Najua ulisoma shule za ufagio na kidumu cha maji, Utakuwa si mgeni wa;

-Pamela na kipini,

-Siku ya gulio,

-Watoto wageuka mawe,

-Mkutano wa wanyama,

-Nani atamfunga paka kengele,

-Muwa uliozamisha meli,

-Sadiki na Chitemo,

-Jogoo wa ajabu,

-Mpapai na mtete,

-Kuku na yai,

-La!La!Laaaa,

-Punda wa dobi,

Hapo vipi unakumbuka wapi?
kibanga ampiga mkoloni
 
Sisi tulisoma hadithi za AESOP, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya Mfalme Suleman, Kisiwa cha Hazina nk. Hivi ni vitabu vya mafunzo ya kweli na vya maliwazo. Unakwenda mfunza mtoto mdogo 'Kibanga ampiga mkoloni' si kujenga chuki tu za kipuuzi? Mbona wakoloni hao hao kila uchao twawaendea na bakuli la kuomba? Acheni unafiki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom