Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 643
- 619
Atakeyazaliwa 2050 mambo ya 2000 atakuwa anayaona kama tunguli kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Tuliozaliwa mwaka 2000, vitu vingine tunaona kama vifaa vya mganga.
Kaseti zangu za Vanilla Ice na Mc Hammer zimeliwa sana na ile redio pale sebuleni!Ngoja nami nili struggle na hiiView attachment 1060735