Enzi zile

Enzi zile

Naona kuna alarm hapo mtu akifungua mlango tuu kimenuka! Watu wanaakili sana sema bas tuu ikifika kwenye kupiga kura huwa wanawaza nini sijui!!
Zinaibiwa na kuandamana ndo kwetu mwiko tunakufa kwa ndani ndani tu!
 
Weka na picha ya kawa imepambwa maua ule ufundi sio mchezo hata zile sahani za udongo zilikuwa imara kweli pana siku dogo kamtibua bimkubwa basi alimpelekea kisosi cha chai vilikuwa vigumu kweli dogo akabonyea kikalamba ukuta na kubenjuka kidogo.
Kuna dada mmoja nilienda kumtembelea alikuwa amepamba sufuria mpya sebuleni kaweka musumari halafu katundika. Zamani ni taabu na picha za kwenye magazeti zimezunguka kuta zote.
 
mwaka gani huo?!
 
Yaah! matangazo kama ya wapi wapi's bar chang'ombe au avalon kama sio new chox leo kutakuwa na filamu hizi ndio ilikuwa mambo ya waqt huo au ukuta umechorwa nyoka duh muda umekwenda wapi?
 
Ukutani ilikua ni kawaida kukuta mtu kabandika picha za ma actor wa movie za kihindi,lazima ukute picha ya Govinda,Mithun,Amita bachan,Amrish puri,Hema malini e.t.c

Hollywood sasa lazima ubandike ukutani picha za kina Chuck norris,Arnold shwarzenegger,Sylvestar stallon RAMBO,Bruce lee e.tc
 
Ukisema chuck norris ilikuwa lazima umalizie na bingwa wa karate marekani ilikuwa burdan sana pana mjomba wangu alikuwa akinipeleka senema jmosi basi jpili asubuhi namuomba mzee nauli nakwenda kwa bibi basi huko watoto wa mama mdogo au mkubwa nilikuwa nalingana nao umri au wamenizidi kidogo walikuwa wanachezea mkono ile kswah gshwah ilikuwa si mchezo.
 
Back
Top Bottom