Enzi zile za Walkman

Mimi yangu ilikuwa Sony walkman nyuma na mbele unaweza kuweka kanda,it was so nice,ukichukulia wakati ule natumia kanda za ferro acha kabisa ilikuwa balaa.
 
Nilikuwa nazo mbili... tena hata ukiitikisa vipi nyimbo haziruki wala kukwama kwama... baada ya hapo zikaingia IPod..
Hiyo ilikuwa ni sport version mkuu. Sony walikuwa wanauza ikiwa na disc na tape playetr kama cimplete package. Zilikuwa sio mchezo.
 
Hapo unapiga kapelo na Shati kubwa hufungi vifungo na white T-shirt ndani.Bila kusahau jinsi ya SAVCO na raba ulimi nje.Hatari!

Haha, na akichomekea shati anaweka handkerchief kwenye mfuko wa nyuma wa suruali halafu anaacha inanin'ginia.
 
hiyo ni advance, kuna zile walkman za kanda, ziling'olea sana ma sister do wakati wa picnic enzi za mzee Ruksa.
Umenikumbusha kipindi nasoma o level pale iyunga mbeya ,tulikuwa tunapanda sana mlima loleza kipindi cha likizo.daaah nawakumbuka wanangu sijui wapo wapi kama KIBWEGALE,MWAMENGE,SAINEDI,AWESO,KALONGOTI,
 
Kumbe na wewe wa longi eehh.
 
Daaaaah!!!! Tulikuwa tukiziita Okmani!!! [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
View attachment 488213hivi kwanini hakukuwa na walkwoman [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
I remember those times. Nilikua na device kama hii. Pia nilikuwa nanunua CD ilikuwa inaitwa Bingwa za Bongo.bilikuwa na ngoma kali sana. Then nilikwa na betri za dula cell za kucharge pamoja na charger yake
Daaaaaaah. Maisha yalikua matamu sanaaaa. Nakumbuka akat nasoma o”level Mbeya nilikua nasafir sana na treni TAZARA nilikuwa nasikiliza music masaa 24. Enzi hizo nipo iyunga tech sec school nafukuzia madem wa loleza gals ilikua lazima nisubiri wafunge shule dhen nisafiri nao
Nimemiss sana kipindi hichooooooooooooooo
 
Shanty town hapa Moshi kipindi hiyo miaka ya 1989 tulikuwa tunaoneka ma checkbob ukiwa na walkman alafu unajipigia madem wa Kibosho Girls na Mawenzi sec,na wale wa Weruweru ndo walikuwa cheap kabisa,Utoto raha
 
Nakumbuka nilikuwa natumia ya kanda kabla ya CD na album za The Gladiators, Don Carlos, Culture Beat, Mc Sar &The Real McCoy na wengineo miaka ya tisini. Unaweza kosana na watu maana sauti kubwa na hata tembea inabadilika.
 
Shanty town hapa Moshi kipindi hiyo miaka ya 1989 tulikuwa tunaoneka ma checkbob ukiwa na walkman alafu unajipigia madem wa Kibosho Girls na Mawenzi sec,na wale wa Weruweru ndo walikuwa cheap kabisa,Utoto raha
Duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…