Enzi zile za Walkman

Nilikuwa nazo mbili... tena hata ukiitikisa vipi nyimbo haziruki wala kukwama kwama... baada ya hapo zikaingia IPod..
 
za kuzungushia na pen ya epica, na unakadiria tu sasa wimbo flani ni hapa, kusave betri
Acha tu, asubuhi ukienda shule ni kheri usahau mkebe kuliko walkman, matatizo betri zilikuwa shida wakati ule.
 
Alafu nna walkman bado mpyaaa inajaza nafasi tu kabatini!!! Kuna watu wanatumia hizi kitu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…