Enzi zile za Mwalimu


Miaka 20 ijayo kwa watakaobarikiwa Uhai watakuwa Wanacheka Ushamba wa wanaojipiga selfie kuonesha IPhone zao
 
Afu enzi hizo wanawake wenye matiti makubwa walikuwa wachache nafikiri kutokana na vyakula walivyokuwa wanakula vya asili na vibichi kutoka mashambani sio siku hizi vyakula fake kila kitu
 
Afu enzi hizo wanawake wenye matiti makubwa walikuwa wachache nafikiri kutokana na vyakula walivyokuwa wanakula vya asili na vibichi kutoka mashambani sio siku hizi vyakula fake kila kitu
Kiongozi unayoyasema ni kweli kabisa.

Sasa hivi Vyakula Mafuta mengi, na madawa.

Si vya kiasili.

Na mbaya zaidi Tanzania tumejaaliwa Vyakula vya Asili vingi, cha ajabu hatuvithamini.

Tunashobokea Vyakula vya Madawa, kuanzia Matunda, ukija kwenye Nyama ndio hizo za Makopo, ukija kwenye Kuku, Kuku wa kukuzwa kwa Madawa.

Kwa kweli ni Mtihani sana.

Halafu ukija kwenye Mazoezi, uvivu mwingi. Watu hawataki kabisa kufanya Mazoezi.

Ukichanganya na Madawa yao, sijui niseme Sindano za Uzazi wa mpango, ndio zogo.

Yaani!

Tuko kwenye Wakti mgumu sana, Zama ngumu sana
 
Jamani.

Picha za hivi mara nyingi ni za kuagana, Mnamaliza.

Kwahiyo mnachukua Kumbukumbu ya pamoja.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…