kule kwetu mikahawani tangu napata akili hadi nilipoenda mara ya mwisho sijaona mwembe!!
hiyo niloimba ni hip hop
slang tupu
lugha za kitaa tu.
kule kwetu mikahawani tangu napata akili hadi nilipoenda mara ya mwisho sijaona mwembe!!
Hahahahahaaa ilikuwa Mikocheni kaka, dah Cine Club nadhani ni ya zamani hii naongelea early 90s nilikuwa ndo naanza anza primary school enzi hizo ila ilikuwa kama club ya kawaida kabisa not the way ilivyo sasa
hiyo niloimba ni hip hop
slang tupu
lugha za kitaa tu.
Mara 100000? hilo litakuwa kokoro la bahari ya shamu labdanene noya kukangwa na homa
ukumija kung'ang'ala gwike
munh'ya one ombele jagwa
maduma gete lo mababayu
mino za gete lya seka iwa.
Repeat 100000 times
sie wa kijini kombolela ilikuwa usiku tena kipindi cha mbalamwezi
We Da Pretty unafanya nini hapo kwenye avatar?
Naphotolewa!
Anayekuphotoa kasimama nyuma au mbele?
yeah kuna ile mnajificha hadi wengine wanaenda kulala maana mchezo hauwezi kuendelea kama hampo. ila tulikuwa na hatari maana tulikuwa tunajificha kwenye shamba la mpunga bila kung'atwa na mdudu nyoka ama wengineo. sana sana siku moja tu tulikosea tukajificha kwa mama siafu, hapo ndo balaa lilipoanza kutoka kwa askari wakeAfu unachagua katoto kazuri ka kike unakaelekeza tujifiche huku ebwana mnajificha hd mnapitiliza, mkija kutokea wenzenu wamkekasirika ile mby!
Dah hiyo miaka ya 80 inabidi uwe specific maana mi ndio kuna wakati nazaliwa kwenye miaka hiyo........ Haya SHIKAMOOOOOOHaya niamkie haraka vinginevyo bakora ni halali yako. Kidongo chekundu ninachokisema ni pale karibu na shule ya Kisarawe jirani na mnazi mmoja. Na hapo palikuwa maarufu enzi ya miaka ya 80
Hebu eleza picha hii imepigwa saa ngapi? na Taja vitu vinavyoonekana katika picha...........Hahahahahaa Geography ya zamaniKama mtihani wa geography o'level miaka ileee ungepoteza 30marks za photograph and Map reading,upande unaouona vizuri ndio aliokua mphotoaji
Hahahahahaaa sipati picha mlivyosaula..........yeah kuna ile mnajificha hadi wengine wanaenda kulala maana mchezo hauwezi kuendelea kama hampo. ila tulikuwa na hatari maana tulikuwa tunajificha kwenye shamba la mpunga bila kung'atwa na mdudu nyoka ama wengineo. sana sana siku moja tu tulikosea tukajificha kwa mama siafu, hapo ndo balaa lilipoanza kutoka kwa askari wake
Dah kweli stori za chunusi siziskii siku hizi, mara walikuwa wanadai chunusi akitaka kukuchukua popote ulipo utaenda tu mwenyewe baharini na ukifika ukigusa maji tu unapoteaEnzi za utoto........Nakumbuka kila mchezo ulikuja na msimu wake wakati wa mbalamwezi kombolela kwenda mbele...kipindi cha kaskazi tulikuwa tunarusha vishada kila mmoja akijaribu kurusha kishada chake kiende mbali kuliko cha mwenzie.....kuna wakati wa kuogelelea lakini ukirudi nyumbani umepauka mkong'oto wa nani huo-halafu unatishwa eti shauri yako utachukuliwa na chunusi!...DAH KWELI KILA JAMBO NI WAKATI.
Ah kwahiyo Lizzy hakuwa anapanda miti ya mwembe! Alikuwa anapanda miti gani sasa?
Dah hiyo miaka ya 80 inabidi uwe specific maana mi ndio kuna wakati nazaliwa kwenye miaka hiyo........ Haya SHIKAMOOOOOO