Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
My husband hataki niweke picha.
Hivi unamjua mai hazibendi eeh?
hata simjui huwa naotea sijui ni OLESAIDIMU sijui ni Nyani Ngabu
You never learn my sweet.
View attachment 148714Enzi zangu hizo. Hapana chezea 3 point zangu pamoja na ufupi wangu.
utafiti, Mndengereko, Don Mangi, Red Giant, Desert Storm, Ntuzu, Mr Rocky, Tized
Nitaweza tenaaaaa?
Basi tutupie picha halisi maana hata mm kuanzia hiyo misuli mpaka kwenye Hips pananitatizakwenye msuli nitakudanganya.
Basi tutupie picha halisi maana hata mm kuanzia hiyo misuli mpaka kwenye Hips pananitatiza
Kifua na vingine sawa lkn km unavuta early '50 tupia full-size itanoga sio cha passport
Najua ng'ombe hazeeki ...
No way!
Kwani sasa umezeeka sana?
Naona siku hiyo Jukwaa na JF yote itafungwa maana tutalia weyeHahahahaa. Aisee siku natupia picha humu am dead! Ka put!! Finito!!
Hahahaaaa. Usinjazie pm bure.