enzi zako

Hakuna hata moja hapo kwa kuwa sikuwahi kumiliki bag.
Nalog off
 
A - wakati wa kwenda shule
F- wakati wa kurudi (uchovu)
 
Mimi nina bahati madaftari na vitabu vilibaki shuleni. Miaka ile kujisomea ilikua shuleni tu.
 
Mnaongelea daftari? Mi nakumbuka style ya kubeba kimfuko na kikombe cha uji nikiwa nursery. Kikombe cha njano, plastic, cha nusu lita kina mistari round. F ndo mpango mzima, hatukuwa na daftari wala homework manake tulikuwa tunatumia vibao.
 
Zamani grade 1 up to three hubebi mabuku kwenda nayo home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…