Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli


wa 1976 nipo nimejaa tele, mtaani hawaniiti babu bali afsa 🙂


 

Kwa jinsi nilivyokuwa na allergy na namba......dah...hadi nakuonea wivu aisee!!
 
Umenikumbusha Ma-warsaw! watoto walikuwa wanahusika sana hawa!
Mawese nayo yalikuwa yanasaidia sana

Rejao na wewe m-boyzia?kwa iyo afande chacha na mwendo wa pole anahusika?zambalau na purukushani za oneleg je?huwez amini mama watoto wangu amesoma TABORA GIRLS...wakat mi nkiwa form6 TABORA BOYS ye alikuwa form3...2liendelea na sasa 2mefunga ndoa na watoto wawili..and we enjoy the life!
 
Mimi nilipiga pale mkuu!
Hongera sana kwa kuopoa Mgelzia!
Ukitaka kufahamu waboyzia wengine hapa JF fuatilia huu uzi hapa

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/160127-waboyzia-waliosoma-tabora-boys-tangazo-maalum.html
 
Kitei cha ilboru kilinipa 1.7 O level, 1.3 A-Level, First class chuo. Kote ni 90's

japo muweka uzi kazuia kusifia.....nimeshindwa kujizuia............YOU ARE SO BRIGHT I SEE.....Hope you kids are like parent...is dis so?
 
hii inaonyesha kuwa hukufunzu kuendelea na masomo....poleee!

kufunzu ndio kusema?
kama pole uliyonipa ni kwa kutokuendelea na masomo "asante"-
kwani wewe wakiitwa waliokwenda shule utajitokeza? Unashangaza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…