Enzi za utoto nimechezea sana hii

Enzi za utoto nimechezea sana hii

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,723
attachment.php


Kwa wale wenzangu na mimi waliobahatika kukulia kijijini kwa namna moja au nyingine kuna jinsi walikuwa wakiburudika na michezo fulani ya kitoto.

Kwa mikoa ambayo wanazalisha sana ndizi nadhani watoto watakuwa wanaijua hii kitu.Kule kwetu watoto wakati wa michezo tulikuwa tunaitumia kama ng'ombe.

Wachaga wa rombo wanaita nana na kule kwetu tunaita endilalila, samahani kwa kiswahili sijui inaitwaje.Kwa kifupi inapatikana kwenye ndizi.
 

Attachments

  • 10622872_829376180426081_5525766823161027712_n.jpg
    10622872_829376180426081_5525766823161027712_n.jpg
    12.6 KB · Views: 589
utafiti, ulikuwa wapi miaka hiyo na umekumbuka nini?
 
Last edited by a moderator:
nashukuru mungu mimi sijakulia kijinini..Ila nimekulia...kijijini..
 
Hiyo kitu naikumbuka sana tulikuwa tunawapa ng'ombe ila skujua kama ni playing machine....
 
Back
Top Bottom