Enzi za utoto: Funny life experieces

Enzi za utoto: Funny life experieces

Dah, hapo nimekumbuka mbali sana, yaani ndala zimeshawekwa tayari kwa kutoka nduki, alafu umechongwanishwa upigane na mbabe na kila ukitaka kukimbia wenzio wanakudaka na kukurudisha

Kwa hiyo picha hapo kulikuwa hakuna kuputa, dogo hamuwezi anayepigana nae
Sky way zipo mikononi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom