Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea


sawa yeye na hata zito ni vilaza kabisa, nyie bakini na ma-genious lema na mbowe............siumeona hata matokeo ya kata majuzi chama kinavyochanja mbuga kukamata nchi???!!!
hayo ni sehemu ya 'matunda' ya hao makamanda!!!!!!!!!!!!
 
Hujui chama cha prezooo na maslia mwenzio mpaka sasa? You must be kidding!
ACT=Alliance Charter for Traitors like you au ATC=Alliance for Traitors and Charity.Kipi kinakufaa?

hakuna kinachonifaa,,nitajie vingine,,,,,,
 
Ujumbe gani, sana sana yeye mleta ujumbe ndo ana maumivu makali. Alifikiri kufanya kazi chamani ni kupata hela bwelele bila kufanya kazi. Mwambie aende ACT.

kwa uchache tu.....demokrasia ya kihawayani kama ya ccm, ubaguzi (baadhi ya viongozi kuchaguliwa marafiki huku wengine hilo halifanyiki), upendeleo haswa viti maalum, maadili mabovu (mwenyekt kutafuna viti maalum wa chama chake.....bora hata angekuwa kutoka maccm!)....................
 
ma'ccm kwa kurubuni hamjambo, mnanunua skafu za chadema halafu mnapiga picha nazo ili mjifanye mlikuwa chadema? wendawazimu tu nyinyi, hata mm naweza kuvaa migwanda yenu ya kijani na nikapiga picha kasha najifanya nilikuwa ccm, najua mnaogopa kuchweka mtaani na mavazi ya kijani sasa mnabuni mbinu mpya ya kuvaa sare za chama, nyambafu kabisa.
 
upuuzi huu upo chadema na ccm tu,,,NA BADO.

Hata masalia wenzako (Mwampamba et al) walisema vivyo hivyo lakini kipi kimebadilika? Zito nae alikuja na speed mia kwenye vyombo vya habari akiuza udaku wake, yuko wapi sasa? Sembuse wewe nobody, mtupu wala huhesabiki chamani kama upo ama haupo? Hamchelewi kusema viongozi wako too local wakati wenyewe hamjajipima na u local wenu!

Huna influence wewe, tulia, na kafanye shughuli zako za ujenzi wa taifa kwani siasa zako njaa chadema hupawezi!
 

Huyu jamaa atakuwa kaolewa na mwigulu.............awaulize akina shonza na mwenzake wako wapi. Saaizi wanafua nguo za nape. Ila ukweli mi9jitu mingine bana, unawenza ukaamka asubuhi ukamshauri mtu ahamie ccm kweli km unaakili sawasawa? Rujajibu kufikiri kwa kutumia kichwa
 
weka Verified user Njano5 maana hii TIMU UZALENDO tutasikia mengi
 
Last edited by a moderator:

ni kwel kamanda kumshauri mtu kwenda ccm yataka moyo - ila sasa mbona na chadema (VIONGOZI) wanaiga yale yale ya ccm......tofauti iko wapi?!
 

ama kwel ukipenda kipofu utaita chongo....yaani umewekewa hadi picha ya 'aliyekuwa' kamanda lakini bado unabaki kusema alikuwa gamba?!
by the way hata mada za Njano5 za mwanzoni zinathibitisha hivyo, sumbua kichwa kdg usikariri tu kama kasuku!!
 

.............rudia kusoma post yake namba 84 hapo juu, nxt tym usikurupuke kama lema!!
 
ama kwel ukipenda kipofu utaita chongo....yaani umewekewa hadi picha ya 'aliyekuwa' kamanda lakini bado unabaki kusema alikuwa gamba?!
by the way hata mada za Njano5 za mwanzoni zinathibitisha hivyo, sumbua kichwa kdg usikariri tu kama kasuku!!
wee boya kwani zitto si alikuwa naibu katibu mkuu wa chadema huku akitumikia ccm? huyo ni kamanda wenu na mission imeshafeli, kuna na wengine madiwani wa chadema shinyanga mtakutana nao huko, jana ma'ccm mmeshawahonga wajiudhuru, goodluck5 = njano5 mbon mnapenda sana hii namba 5?
 
Last edited by a moderator:

ukiondoa porojo za vijiweni, hakuna sehemu yoyote kumewahi kutolewa ushahidi (vielelezo) kuonesha zitto akitumikia maccm, ni mambo ya hisia tu ndo maana baadhi yetu 'tukichanganya' na zetu tumegoma kukubali!!
bahati mbaya ufuasi unamfanya mtu kuwa kipofu wa akili hivyo kushindwa kuchanganya za zake!
 
Matokeo ya kata zipi? una maanisha shule za kata za Lowassa na Kikwete au kata za uchaguzi?
kama ni kata zilizofanya uchaguzi ni kwamba hakukuwa na mshindi,maana ccm wamewanyang'anya cdm kata muhimu ya Nyasura Bunda ilhali cdm nao wakawanyang'anya ccm kata muhimu sana ya Sombetini(hapa lazima ukubali kuwa lema ni genious wa siasa) na nyingine ya Njombe mjini.Au NCCR kuchukua kata iliyokuwa ya chadema Kigoma kwa prezidaa ni sawa na ccm?
kweli wewe ni mfuasi wa rat killer!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…