Enzi za ubachelaaaa

kuwa huru! Naangalia prison breaker kuanzia ijumaa jioni hadi jpili jioni...tv ipo bedroom. Siku hizi wapi, dogo anaangalia katuni, mama taarabu...nabakia kuangali habari tu!
 
Ijumaa kupiga maji mpk sa kumi za usiku, unarudi na mzigo gheto, unakamua, kesho yake jmosi unaanzia na supu kisha monde monde monde then club mpk kumi usiku tena, J2 unajiuguza maumivu ya starehe, dah ubachelor raha sana!

Il Gambino.
 
then angalia j3 unavyoumia ukiangalia salio ATM!!
 
Back
Top Bottom