Enzi za RFA katika ubora wake

Enzi za RFA katika ubora wake

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,997
Reaction score
2,577
HAWA WATANGAZAJI WAKIRUDI RFA UNAZANI
ITAKUWAJE? na KAMA WATAKUSANYWA KWENYE
RADIO MOJA UNAZANI RADIO HIYO ITAKUWA NA
UMARUFU GANI.
1,Jackob usungu?
2,Baruani muhuza?
3,Lenardi mubali?
4,Gabriel zakaria
5,Mariko muntal?
6,Mtoto wa mama sabuni?
7,Fred fidelis?
8,Roy mlaliki maganga?
9,Stelas tumbi?
10,Rahabu fred?
11,sam kiama?
12,Godwin gondwe?
13,Deo kiduduye?
14,Fredlik bundala?
15,Kid bway?
16,Deo kajimakomba?
17,Maleges grinson?
18,Razaro matarange?
19,Sog dog anta?
20,Alex ngusa?
21,Asia mhamed?
22, baina kamkulu?
23,Paul james?
24,Jen mkama?
25,Mkamiti juma?
26.joan itanisa
HAWA JAMAA WALITOA MCHANGO MKUBWA
SANA Radio free afrika je WANAKUMBUKWA
 
kubania underground wa mwanza enzi zile
 
Ina maana hao wote hawako RFA siku hizi

Mtoto wa mama sabuni nilikuwa nampenda
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Jamani kulikuwa na mtangazaji mmoja aliyekua anaitwa Deo Kiduduye kama sijakosea, kwa kweli jamaa alikua anajua sana kutangaza na ndiye aliyenifanya nipende kusikiliza RFA, je yupo. Ktk list yako naomba niwaondoe Prince Baina na Soggy Dogy kwa maana huyu Kamkulu yeye alianzi Clouds fm na alienda huko RFA ikiwa tayari imeshine. Ila haujamtendea haki ZUBERY MSABAHA.
 
Fredwaaa nakutana nae Isumba Lounge kwa DJ JD kwenye ngoma za flashback na old school.

Sema ana shamba wa kujionesha kama anamilik bastola, afu sijui kwa nn Pale isumba wanamwacha anaingia nayo hadi kwenye dance floor!
 
Wee umeona bastola tuuu katika mada hii,..
 
Jamani kulikuwa na mtangazaji mmoja aliyekua anaitwa Deo Kiduduye kama sijakosea, kwa kweli jamaa alikua anajua sana kutangaza na ndiye aliyenifanya nipende kusikiliza RFA, je yupo. Ktk list yako naomba niwaondoe Prince Baina na Soggy Dogy kwa maana huyu Kamkulu yeye alianzi Clouds fm na alienda huko RFA ikiwa tayari imeshine. Ila haujamtendea haki ZUBERY MSABAHA.

Deo Kiduduye ni marehemu sasa...
 
Namkumbuka jackob usungu kwa musiki wa dance wa kitambo wa bongo yu wapi sasa?....
 
Ma presenter wengi sana wametimka pale sijui pana issue gani inawafukuzisha
 
Lazaro Matarange, huyu ndiye Alex Ngusa Matarange. Au mawenge wenge yangu?

Alikuja Radio one, Akawa anatangaza taarifa kwa jina la Alex Ngusa, wakati huohuo anapiga Clouds kwa jina la Alex Matarange.

Siku hizi sijui kapotelea wapi.
 
Back
Top Bottom