johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Hivyo hivyo enzi ya Mwalimu tusingekuwa na Rais wa aina hiiNi kweli, enzi za Mwalimu Nyerere maisha ya Zito yangekuwa Ukonga tu!
Lakini tukiachana na tabia za Zitto, jee anayoongea huoni mantiki yake? Mangapi yamefanyika bila kupitia bungeni kwa nini hili tuu ndio limtie hasira mzee baba?Huyo jamaa ni kumpotezea tu nafikiri hata Serikali yenyewe wameshajua kwamba wanadili na mtu anayependa attention kama mtoto ndo maana analazimisha kukamatwa.
Jamaa hana input yoyote hata kwenye Chama chake tu, lkn makelele meengi urafikiri yeye ndio mpinzani Mkuu TZ, kumbe wapi.
Hakika mnapenda vibaya. Ukiambiwa kuwa magufuli ni kengeza wewe unasema hapana magufuli ni chongo. Lakini tutaelewana tuhata
Hana input, unaijua maana halisi ya inputHuyo jamaa ni kumpotezea tu nafikiri hata Serikali yenyewe wameshajua kwamba wanadili na mtu anayependa attention kama mtoto ndo maana analazimisha kukamatwa, hivyo wanampotezea tu.
Jamaa hana input yoyote hata kwenye Chama chake tu hakuna chochote anachoweza kuonyesha, binafsi huwa nashangaa hata huko kwa Muzungu wanakokimbilia si ni lazima uwe na cha kuonyesha? Sasa wewe una Mbunge 1 nani atakusikiliza? lkn bado makelele meengi urafikiri yeye ndio mpinzani Mkuu TZ, kumbe, ...
Chakaza Mwalimu hakupenda watu wakucheka cheka, rejea hotuba ya Mwalimu 1995 akihutubia mkutano mkuu wa CCM Dodoma!
Mwalimu alihitaji watu kama Magufuli, akikuambia hiki kinyesi amemaliza, ata umuulize kesho kile ulisema nn? Atakujibu "Kinyesi." sasa kuna wengine leo anakuambia kinyesi kesho anakuambia mkate!