Enzi ya kuzamia video kwa jirani

Enzi ya kuzamia video kwa jirani

wakati huo mnaulizana tv yenu ni inchi ngapi, n.k
 
Enzi hizo
Majuto anaigiza anafanya kazi kwa muhindi muhindi hajui kuita majuto anaita mapyuuuuutoo
Dih!
 
halafu unakuta umetumwa dukani wewe unaenda kula chabo kwenye tv.
 
mpaka wakaoge ndo wataruhusiwa kuingia ndani.. na hakuna kukalia viti ni chini panawatosha.
 
Back
Top Bottom