Enzi hizooo

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,620
38,652
*Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"*
 
*Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"*
Hehehe!!

Mimi maranyingi nilikuwa nawapiga chenga nikimuona kasogea nyuma yangu,,,nafunika karatasi ya majibu kisha naweka juu karatasi ya maswali nakujifanya nasoma maswali kwa Umakini.

Hii tabia ya wasimamizi wa mitihani nilikuwa siipendi.
 
Back
Top Bottom