Enzi hizo

Enzi hizo

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
10172709_237665446430539_8147081169179489391_n.jpg
 
Enzi hizo Nokia 3210 na 3310 (kwenye picha namba 1) ndio zilikuwa 'mpango mzima'.
 
Nakumbuka hii Siemens ofisini kwetu zilikua kwa ajili ya 'wazito' tu enzi hizo za Tritel.

380511.jpg
 
simu namba tatu nilipewa zawadi wakati namaliza form four
 
nakumbuka nkiwa 1st year nlipopata boom langu la kwanza ..kitu cha kwanzs kununua ilikuwa ni simu .hiyo no 5.
 
Back
Top Bottom