Enzi hizo

Enzi hizo

Ten inavaliwa peke yake halafu wanaanza kukata mitaa. Sijui wamepata wapi hii fashion?
Watakwambia joto, fashion, mara utandawazi


Siku hizi sehemu za siri sio siri tena kama zamani, enzi hizo kuona hata goti au paja la mwanamke shida, siku hizi sasa mmh
 
Uwiiiiiiiiiiiiiii!Nawaheshimu wanawake waliokuwa wanavaa hii kitu!Let me saluting them
876549098.png
 
Back
Top Bottom