hiii bora mkuu kuna ile inaitwa SKINTIGHT ambazo skuizi ndo wanatembelea barabaraniKwanza inavaliwa chupi ,inakuja underskirt halafu sketi,ni kero Sana Kwa sisi mabaharia wa fasta fasta
Hivi joto jili la dar unavaaje sasa hizo makitu, hata ch*pi inakua kero kuvaa sometimes maana hupati hewa kabisaaHamna tena kwenye hiki kizazi labda ivaliwe yenyewe.View attachment 1647418
Umejuaje mkuuDuuuh siku hizi wanavaa tight
JotroooSiku hizi anakuja na kijora ndani ana bikini tu,siku zingine havai kitu ndani kabisa
Hii tulikua tunaita kirindaHamna tena kwenye hiki kizazi labda ivaliwe yenyewe.View attachment 1647418
Kwa bebe😇Umejuaje mkuu
Haaaaa, kwa bebe au wife?Kwa bebe😇
Both ni wanawake na wanavaaHaaaaa, kwa benefits au wife?
Yenyewe ndio mpangoHamna tena kwenye hiki kizazi labda ivaliwe yenyewe.View attachment 1647418