Enzi hizo

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,079
10,387
Hi
 
Attachments

  • IMG_20190915_181139.jpeg
    IMG_20190915_181139.jpeg
    24.1 KB · Views: 33
Kwa unyenyekevu. Ila kwa sasa hata ukipewa uenyekiti wa nchi za kusini mwa jangwa sijui la wapi watu hawakuheshimu na wewe kwa kutokuheshimika hutoI tamko hata kama kuna xenophobia
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Toa wewe tamko,unadhani kila kitu ni matamko?
Mlizoea matamko,siku hizi ni vitendo tu.

Unajua jitihada kiasi gani hadi sasa zimechukuliwa?

Sijui hebu weka hapa hizo jitihada ambazo zinazidi angalau kwa 20% jitihada za buhari
 
Toa wewe tamko,unadhani kila kitu ni matamko?
Mlizoea matamko,siku hizi ni vitendo tu.

Unajua jitihada kiasi gani hadi sasa zimechukuliwa?
Huwa tunaonyeshwa mpaka drama za mtu kusimamisha msafara wa rais(na wewe jaribu kuusimamisha) na ghafla bin vuu mtu huyo kuondoka na kitita cha milioni tano, hizo drama uchwara huwa zinafanyika jitihada ili zionekane ili Jiwe lisifiwe hivyo basi mambo constructive kama ya kufanya jitihada zozote kwenye kuonyesha kuguswa kwa namna yoyote ile na xenophobic killings lingekuwa live kwenye TVs(local channels) na magazeti kwa mbwembwe na bashasha yangeweka hilo jambo kwenye front pages ili kulifurahisha Jiwe.
Jasiri haachi asili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom