Thamani ya fedha yetu ilipokuwa juuView attachment 623054
si pipi tu..kama kuna kingine basi nilichelewa kuzaliwa
Aiseeeee kumbe humu tuna watoto kabisaaa.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]ice cream...ilikuwa sh 1 ..na mihogo ya kukaanga @1 shilingi 1/=..hapo ni mihogo 4 na ice cream...hyo nakumbuka ndy pesa ya shule hyo....kila siku napewa 5/=
Lini umenunuwa ice cream sh 1 kama kweli wewe ni muhengaAiseeeee kumbe humu tuna watoto kabisaaa.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Alafu unakuta tunakuita eti "mkuu"
kijeba katika ubora wakoice cream...ilikuwa sh 1 ..na mihogo ya kukaanga @1 shilingi 1/=..hapo ni mihogo 4 na ice cream...hyo nakumbuka ndy pesa ya shule hyo....kila siku napewa 5/=
Wakati ninakua nilitumia shilingi 5 ya notiLini umenunuwa ice cream sh 1 kama kweli wewe ni muhenga
Na ndio chanzo cha mabasi ya usafirishaji kuitwa DaladalaKumbuka hiyo ndio ilikuwa inaitwa. " dala "
Sawa na US $ 1
Pipi!?si pipi tu..kama kuna kingine basi nilichelewa kuzaliwa
miaka hiyo haiwezi rudi tena,sasa fedha yetu imekuwa pesa ya madafu haina thamani kabisaKumbuka hiyo ndio ilikuwa inaitwa. " dala "
Sawa na US $ 1
Sio kijeba,,,wahenga ndy sisikijeba katika ubora wako
Nimekuuliza hyo dala ni mwaka gn ukiitumia? Na ulinunuwa nnWakati ninakua nilitumia shilingi 5 ya noti
Bazoka keki na mirinda na bado chenchi inabakiThamani ya fedha yetu ilipokuwa juuView attachment 623054