ngoja team vbamia waje!hawana hata dalili ya kibamia! hawa ndo wanaume bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi zangu
View attachment 412086
Ulipotea ghafla..vipi ulienda mchepukoni mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angalia ile kitu zamani tulikuwa tunaita MIWAYA...[emoji3] [emoji3] [emoji3] kiufundi zaidi ndani ya msata sasa jus landed (safely)
Ilikuwa balaaa sana..mpaka sasa kule kwetu interior bado wanajua ni JULIANAAu juliana
Hahaaa..ndo maana nasemaga Siasa za tanzania zinaishiaga mjini tu..vijijini watu hawana lolote.Ila siwezi kupinga kuna vijiji mpaka kesho wanajua rais ni mchonga
Ninyi wenyewe wa zamani cku hizi vitambi mmeviachia balaaZamani wanaume matumbo yetu "flati screen" nowadays fasheni za Vitambi tu!!
Teh teh teh kwa hiyo hapo ni Ngoswe na Mzee Mitomingi?Hii itakuwa ni ile iliyoandikwa katika kitabu cha "Ngoswe, Penzi kitovu cha Uzembe", kwa nyuma kabisa naomwona Mama Mazoea.
Huyu jamaa mbona kafanana sana na Field Marshal John Okelo Baba wa Taifa wa Zanzibar?
Hahahaaa huyo jamaa ndo pozi gani tena hilo :-